respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,844
Ukitaka kuwajua kwa haraka watu wa makabira haya
Wakinga
Hawa Jamaa wanavyo tembea,mguu wa kulia unaangalia mashariki wa kushoto maghalibi harafu dole gumba za miguuni na mikononi hazina ukucha.
Wandali
Hawa ni weusi sana inasemekana hawa Jamaa ni wataalamu wa kuchoma mkaa
Wachaga
Hawa waangalie memo ni ya njano inasemekana Jamaa wanabifu na mswaki, halafu dondosha hata mia mbili lazima waseme ni yao
Wakuu naendelea na utafiti kama wewe umaliza sema hapa tuwajue zaidi.....