Utafiti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pomole, Feb 11, 2011.

 1. P

  Pomole JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti nilioufanya mdau kuhusu ni kitu gani wanachoangalia wanaume hadi kumpenda au kumtamani msichana/mwanamke vimekuwa vikitofautiana toka zama hadi zama!!Enzi za mwalimu mwanamke mzuri alikuwa ni yule mwenye tabia njema tu si zaidi ya hapo!!Enzi za mzee ruksa mwanamke mzuri alikuwa ni yule mwenye sura nzuri tu si zaidi ya hapo.Enzi hizi wanaume wanamuangalia mwanamke kwanza katika hips na makalio basi!!!Hivyo basi wanaume wanachanganyikiwa zaidi na wanawake hao na hawaangalii tena tabia wala sura.Hivyo vinakuja baadae!!Napenda kutoa hoja


  j.jpg p.jpg f.jpg o.jpg
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Habari bure kusoma pesa we unataka tuangalie sehemu ambazo hazihusiki na majambos huoni itakuwa ni wrong calculations?
   
 3. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwanza mi madude kama hayo ndo yatanifilisi huku mjini nirudi kijijini kuliwa funza.
   
 4. Mazengo

  Mazengo Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  [​IMG]

  Tumwombe Mungu shetani asitutie majaribuni daima. Majaribu mengine jamani hayana maana kabisa. Kwani mwanamke kuwa na hips kubwa ina maana ana ladha nzuri kuliko mwenye hips za kawaida? Ni ujinga kudhania eti yuko tofauti. Tamaa ya macho huua roho na tujiepushe nayo.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Study population?, sample size?, study area?, demographic characteristics of study population?, methodology?, Data analysis tool?:A S 20::twitch:
   
 6. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 7. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hiyo research ilikuwa ina husu wanawake wakutoka nao out au wakurun nao(ladha)mtazamo wangu hauko tofauti ila kama ni mwanamke wa kutoka nae kuuza sura,,,enzi za mwalimu walikuwa wanapenda kuuza sura na binti mtulivu,ruksa sura na awe cheupe dawa,sikuhizi part zote za usiku mwanga hafifu ukitoka na demu mwenye mzigo wa kobe watu wata amaizing,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Mh, Jamani!
   
 9. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanamke hips na ****,mengine majaliwa.msitunyanyase tuliofungasha,ni majaliwa tu sie tukapendelewa.mvuto lazima uwepo ili ndoa idumu na bila shepu ya ukweli mvuto hakuna.mengine tutajuana ndani ya ndoa
   
 10. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sure!!
   
 11. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimkweli kabisa
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Naona Prof. unamwaga lecture kiaina, jamaa mzushi, kafanya obseravation yake binafsi halafu anaiita research! halafu ametumia feelings zake ku-generalize habits za watu wote.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huo utafiti wako sio wa kweli, hiyo research yako haijatuhusisha sisi wa vijijini ambao hatuna sifa ulizotaja..
   
Loading...