Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,274
- 10,838
Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi?
Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.
Chambua
Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.
Chambua