Utafiti wangu binafsi kuhusu warembo wa lotion

Utafiti wangu binafsi kuhusu warembo wa lotion

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Nimetumia mwaka mzima mimi binafsi kuyachunguza hawa wanawake wanaojiita warembo wa kujipodoa na wenye maumbo namba 8
Wengi wao wamejaa viburi kujiona kujidai na kuona wao ndio wao tu hata iweje wataendelea kuwepo tu
Wengi wao ni matusi kilo mia moja na hawajali kabisa
Kiujumla wengi wana midomo michafu
Nilifikiri ni wa Dar es salaam tu kumbe hata mbeya wamo Mwanza wamo Arusha wamo hii ni mikoa ambayo nimekaa kwa karibu miezi 6
Kimsingi wanaboa sanaaaaa
Na unaweza kuhisi labda hawakuumbwa na Mungu

Badilikeni nyie mnaojiita wanawake warembo na wenye shape za kukodisha
 
Waiiii
No comments ama zilifutwaga 😂😂
 
Back
Top Bottom