Utafiti: Wanawake weupe wanaringa kuliko weusi

Utafiti: Wanawake weupe wanaringa kuliko weusi

Ila kweli mm mwenyewe kuna demu yupo hapa mwanza ni white haswaaaa nimefatilia mpaka sasa naona dalili ya kuchoka kwa pozi zake
Huna pesa,so wee endelea kumpigia nyet tu huku ukimuwaza mpaka uishiwe damu mwilini.
 
Utafiti huu ni kweli mi nikipata demu black halafu tall mwembamba huwa nachelewa hata kurudi home
 
Naona prof.muhongo amepigilia msumari wa Tanesco na ewura ..muda wowote Bomu litalipuka
 
Mi wanawake weupe huwa nawapata kirahisi kuliko weusi.
 
inategemea unaishi wapi kama Mbeya sawa ila huku Tanga wote weupe na wate wazuri watamlingia nani
 
Back
Top Bottom