Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Gayish Tathmin
Hiyo kweli kaliTena kama tembo kajamba.
huko ni bush party, washamba hao. tunaongelea huku watu wanakooga. mjini ndugu.
Acha hasira, weusi bado tunatawala Dunia kwa idadiSo what!!!?
Mkuu utakua hujanielewa, simanishi kuwa nilikua nawashobokea weupe tu ispokuwa mara nyingi huwa wanadharau kuliko weusi na wala sijasema napenda weupe, halafu kutukana na kumuita mwenzio fala ni mambo ya facebook, we toa mchango kistarabu kama huwezi soma nyuzi za wengine tu si lazima uchangie kwa kutukanaWewe una inferiority complex,unahitaji therapy kama sio counselling,hivyo basi nenda ukapate matibabu ili uondokane na kutojiamini au vipi?,hakuna cha mweusi wala mweupe wala albino dunia hii,uzuri uko machoni kwa muonaji au mwenye macho yake au vipi?,kuna wanawake weusi wazuri kuliko malaika hapa duniani,kuna wanawake wazuri weupe wazuri hapa duniani,kuna wanawake wazuri Albino hapa duniani etc etc,sasa kama wewe umeona weupe ni wazuri zaidi ni wewe tu au macho yako au vipi?,usilete ubaguzi ambao utawafanya binadamu wengine wajione wana mapungufu,kama wewe uliwashobokea weupe wakakudharau hiyo inawezekana wewe ni fala tu au hujui jinsi ya kuwaingia hao weupe,au inawezekana ushamba wako ndio ulikuponza,mbona sisi wengine ni weusi kama chungu tena wabaya wa sura,lakini tunawala kisamaki au kichapati,na wanatulilia sana,na makofi tunawachapa lakini bado wanataka mishedede usiku kucha? na tukiwanyima kuwatia wanataka kujinyonga?
Nakubariana na wewe mwanamke ama msichana mweusi ni hatari sana , hasa kitandani hachoshi na kila mara anaita. Hatari yake kama hupati lishe nzuri utadhoofu maana pumpuchi zao unaweza ukawa unakesha. Kuhusu jasho lao hawahitaji aina yoyote ya manukato, sio kama weupe.Nakubaliana na ww kaka wanawake weupe wanalinga sana ila hawajui mapenzi compare to black beauty na mwanamke mweusi mtamu sana bhana
Big upMimi ni binti wa ki Tanzania mkuu nina chocolate complexion inayotunzwa na Vaseline.
Weusi Mwenyezi Mungu kawajalia hekima, busara na upendo. Vile vile hawana tamaa za vimizinga vya hovyo.Kati ya wote niliokutana nao, wengi tena weupe kwa uasili na kijikoboa bado walkuwa wanamaringo, hata kumuita tu umuulize jambo waliomekana kuwa na dharau kuliko weus ambao walikuwa wanasikiliza na kukujibu kwa ustarabu
Kama upo hapo mwanza tafuta mtoto black tena wa kijaruo kisha niletee jibuIla kweli mm mwenyewe kuna demu yupo hapa mwanza ni white haswaaaa nimefatilia mpaka sasa naona dalili ya kuchoka kwa pozi zake