Utafiti: Wanawake wafupi wenye mwili mdogo

Kila utafiti naosoma humu ndani, unaonesha jinsi gan mtu alivyo mzinzi kupindukia.
Mungu awarehemu.
 
Ila kuna ukweliiii.....alafu tukimpata mtu mrefu alafu mpooole tunamuoneaaajeee....ila mi ntajitahidi kuachaa nisije kupigwaa huko mbeleni
 
Nilikuwa na mmoja huyo,... Yaani nilipiga mpaka nikachoka. Nikaamua sasa akinikwaza au tukikwazana natafuta kinywaji nanyonya narudi kulala. Ila hawa ni keroooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…