Utafiti-Wanawake msichelewe kuzaa

wanawake wa kitanzania nao wanapenda kusoma sana mpaka wanasahau kuzaa?

kweli jamani? mbona tungekuwa kama ujerumani...!
 
wanawake wa kitanzania nao wanapenda kusoma sana mpaka wanasahau kuzaa?

kweli jamani? mbona tungekuwa kama ujerumani...!
Kwa hali ya sasa ya maisha acha iwe hivyo mkuu, watu wanafanya mambo kwa timing sana, maisha yamebadilika
 
Kwa hali ya sasa ya maisha acha iwe hivyo mkuu, watu wanafanya mambo kwa timing sana, maisha yamebadilika

mkuu hebu ingia ndani zaidi.... hali ya sasa ya watanzania wengi wa kike inaonesha wanazaa katika umri mdogo..
 
wanawake wa kitanzania nao wanapenda kusoma sana mpaka wanasahau kuzaa?

kweli jamani? mbona tungekuwa kama ujerumani...!

Excel ofkoz,,,why not,umenichekesha sana mdau,tembelea mahostel uone walivyojaa,hawa wa kwetu wanaogopa maziwa kulala tu
 
Last edited by a moderator:
Dunia ya tatu huku ndio mtu kama huyu anaweza kuitwa daktari anaeonekana ana nia nzuri sana ya kuwasaidia wanawake tena mtaalam wa kuheshimika. Sehemu zingine ambapo wanawake wameshaamka usingizini huwezi kusema wanawake wasisome "masomo yasiyoisha" au wasikae sana maofisini bali wabaki nyumbani kuzaa zaa watoto, I mean, wanaweza kutaka kukufanyia background check wajue umefika fikaje kwenye udaktari maana umetoa hoja yenye wazimu. Lakini huku the third world kama Kenya aaah, ni sawa tu, bado wamelala.
 
Excel ofkoz,,,why not,umenichekesha sana mdau,tembelea mahostel uone walivyojaa,hawa wa kwetu wanaogopa maziwa kulala tu

inawezekana ndio...! inawezekana kabisa kwamba tuzuie early pregnancies.. lakini sasa hawa wanotembeza papuchi bila kujua/kupanga njia za uzazi, wanaweza?

mabinti wengi tu bila kujali elimu zao, na wale wasio na elimu pia, wanatembezewa dushelele na kuzalishwa hovyo hovyo.

obstain from sex ama sex planning kwa bongo hii, bado sana! labda waahidiwe mishahara kila baada ya pregnancy test monthly...
 
Now you talk..
Kumbe kuna mengi yanayochangia athari hizo like hilo ulosema la kuchoropoa. Na ndo maana nami nilidought kuchukulia moja kwa moja nikiamin zipo sababu zaidi!
 
Hiyo hata mimi niliisikia na hata mama yangu aliniambia wiki iloyopita.
Bora nilizaa mapema now tunakuwa pamoja na baby boy wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…