Wanachepuka na nani sasa..si wanawake jamani? Basi hii ni same applied to wanawake kwa asilimia hiyo hiyo kwa maana wanashiriki mapenzi au ngono..so ngoma draw.Huo ni ukweli kabisa.
Mi nasema wanaume 10/10 wanachepuka. Hiyo 7/10 sio sawa kwasababu watuhumiwa wameficha taarifa.
Ila kumbuka tunachepuka na haohao wanawake.
Gmab..!! Exactly mtafiti huyo ni lazima atakuwa yuko frustrated na hapo alikuwa anatafuta consolationUtafiti huo utakuwa umefanywa na Mwanamke alieachika kwa kutotimiza majukumu yake ya kindoa sasa anatafuta Visingizio
we nawe hamna cha kumi ya kumi we kama unachepuka usidhani una wenzako wote nyuma yako kila mtu ataubeba maslaba wake hivyo usifananishe wenzio na wewe huyo yuko sawa kuna ambao hawachepuki.So acha kujifariji maana si sifa.Huo ni ukweli kabisa.
Mi nasema wanaume 10/10 wanachepuka. Hiyo 7/10 sio sawa kwasababu watuhumiwa wameficha taarifa.
Ila kumbuka tunachepuka na haohao wanawake.
Kwa utafiti uliofanya wapi Bavaria? 10/10 maana wanaume wote wana michepuko? Nenda tena kafanye utafiti wako kiongozi.Huo ni ukweli kabisa.
Mi nasema wanaume 10/10 wanachepuka. Hiyo 7/10 sio sawa kwasababu watuhumiwa wameficha taarifa.
Ila kumbuka tunachepuka na haohao wanawake.
Si kweli.Huo ni ukweli kabisa.
Mi nasema wanaume 10/10 wanachepuka. Hiyo 7/10 sio sawa kwasababu watuhumiwa wameficha taarifa.
Ila kumbuka tunachepuka na haohao wanawake.
Wanachepuka na nani sasa au wenyewe kwa wenyewe? Utafiti uchwara