Utafiti: Wanaume 7 kati ya 10 wana michepuko

Utafiti: Wanaume 7 kati ya 10 wana michepuko

Sasa tatizo wanawake wanao ingia kwenye ndoa utamu unakua ushaisha sasa mtu unaanza mapenzi ukiwa na miaka 8 ukifikia miaka 28 unaolewa sasa ukiangalia matiti yote saa 12 Jioni yanaitaji sapoti nyapu ndo ivyo tena ishatanuka to the breaking point sasa kwa nini usitafute mchepuko wenye titi saa sita nyapu bado mpya
wanaume tuna kazi aisehh
 
Michepuko ya wanawake hamtaifahamu kwani ni siri kubwa sana.
Kwani hao wanawake wanachepuka na mawe au wanachepuka na wanaume? Kama jibu ni wanachepuka na wanaume basi hakuna ugum wa data collection
 
Kwani hao wanawake wanachepuka na mawe au wanachepuka na wanaume? Kama jibu ni wanachepuka na wanaume basi hakuna ugum wa data collection
Maana yangu michepuko ya wanawake walio kwenye ndoa.
 
Maana yangu michepuko ya wanawake walio kwenye ndoa.
Worry out nimekuelewa but kuna tecniques za data collection bana maana hata hao wanaume watatoa data ilimradi wasitaje jina la muhusika pia wao wasitajwe majina yao
 
Sasa tatizo wanawake wanao ingia kwenye ndoa utamu unakua ushaisha sasa mtu unaanza mapenzi ukiwa na miaka 8 ukifikia miaka 28 unaolewa sasa ukiangalia matiti yote saa 12 Jioni yanaitaji sapoti nyapu ndo ivyo tena ishatanuka to the breaking point sasa kwa nini usitafute mchepuko wenye titi saa sita nyapu bado mpya
wanaume tuna kazi aisehh
Hahaha kazi kweli kweli
 
Siku hiz ndoa maigizo kisa fulan kaoa/kaolewa na mimi nifanye hivyo. Ila its tru wanaume wasiochepuka ni 1%. Ndoa zina mengi m2 unalala naye na kuamka naye kila siku
 
Hao wanawake wanafanya na nani? Kama na wanaume basi hakuna siri "raha ya mchepuko uhadithie"
 
Mmmh!hakuna ukweli wowote hapo km vp atuambie huo utafiti ulifanyika na nani na kwa watu gani
Usipinge utafiti wa mtu kabla ya kuusoma na kujiridhisha kama umefuata misingi yote ya kisayansi na matokeo yaliyofikiwa hayana makando kando. Na ikibidi nawe ufanye utafiti wako uone kama utafikia mahitimisho tofauti. Vinginevyo ni kubisha tu kama ilivyo kawaida yetu.

Wewe upo kwenye wale watatu ambao hawachepuki? Kama ni hivyo hongera sana na usibadilike ukaonja nyama ya mchepuko kama jamaa hapo juu wanavyokiri kuwa hawawezi kugonga papuchi moja tu for the rest of their lives...
 
Sasa tatizo wanawake wanao ingia kwenye ndoa utamu unakua ushaisha sasa mtu unaanza mapenzi ukiwa na miaka 8 ukifikia miaka 28 unaolewa sasa ukiangalia matiti yote saa 12 Jioni yanaitaji sapoti nyapu ndo ivyo tena ishatanuka to the breaking point sasa kwa nini usitafute mchepuko wenye titi saa sita nyapu bado mpya
wanaume tuna kazi aisehh
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] mkuu umesema kweli kabisa
 
13895195_1236552683044180_6442630295723227781_n.jpg
 
Huo ni ukweli kabisa.
Mi nasema wanaume 10/10 wanachepuka. Hiyo 7/10 sio sawa kwasababu watuhumiwa wameficha taarifa.
Ila kumbuka tunachepuka na haohao wanawake.
 
Back
Top Bottom