Elections 2010 Utafiti waipa Chadema 44% na CCM 41%

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Utafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo hayajaharibika.

Hivi wiki mbili zijazo kama utafiti utaipa CCM 60, na Chadema 40, utaukataa? Mfalme akiwa uchi, heri kuambiwa mapema avae nguo kuliko kumshabikia wakati unajua kabisa hajavaa nguo.

CCM wanaweza kushinda lakini sio kwa kishindo; Pia CCM wanaweza kushindwa japo sio kwa kishindo. Hakuna kisichowezekana

Mnasemaje wakuu wenzangu?
 
Mbona ipo tupu tupu nani kafanya huo utafiti, wapi na vigezo vilivyotumika mpaka ikaja figa hiyo...vinginevyo niamini kuwa wapinzani wanaweza kuishinda CCM kwa kishindo tu.
 
Heading ya thread na maelezo yake haviendani, It seem mzizimkavu was just dreaming!!
 
Hiyo Avatar yako mmh!!

MziziMkavu
user-offline.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

laiti hizo data zingekuja tokea kwa mwaka huu 2010, lakini ooh bahati mbaya twaota tu
 
sasa hapa mzizimkavu which is which

Chadema 44% na CCM 41%
CCM 60, na Chadema 40

na hii ni ratio ya kura za Raisi? na vipi wabunge?
 
Watu hapa ni ushabiki tu hadi kieleweke October 31, baada ya hapo tutasikia msululu wa visingizio kwa nini wagombea au vyama vyetu hawakufanya vizuri.
Naona bado hatujapata somo kutokana na Mrema kushindwa '95 na CUF kupoteza Z'bar mara 3 mfululizo.
 
Mbona ipo tupu tupu nani kafanya huo utafiti, wapi na vigezo vilivyotumika mpaka ikaja figa hiyo...vinginevyo niamini kuwa wapinzani wanaweza kuishinda CCM kwa kishindo tu.

Utafiti umefanywa na nani?

naona mzizi mkavu ameanza ku-recycle hizi thread...

Kweli huu mzizi mkavu, Hauna hata source!!!!

Heading ya thread na maelezo yake haviendani, It seem mzizimkavu was just dreaming!!

Hiyo Avatar yako mmh!!

MziziMkavu
user-offline.png

JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

laiti hizo data zingekuja tokea kwa mwaka huu 2010, lakini ooh bahati mbaya twaota tu

Tunaomba source pls!

sasa hapa mzizimkavu which is which

Chadema 44% na CCM 41%
CCM 60, na Chadema 40

na hii ni ratio ya kura za Raisi? na vipi wabunge?

Chanzo ni Utafiti waipa Chadema 44% na CCM 41% - Wanabidii | Google Groups
 
Hiyo Avatar yako mmh!!

Hiyo Avatar ndio uthbitisho unaotufanya tuishi kwa amani na uhuru dunia yote,vinginevyo tungetiwa majambia na kuamuriwa jinsi ya kuishi na watu ambao hata wao wenyewe hawajui siku ya mwisho watakuwa wapi pale mwana wa Adamu atakaporudi kuwahukumu wazima na wafu.
 
utafiti huu naukataa... haiwezekani chadema iwe juu ya CCM

Vipi wewe! Si ndio maana ya ushindani, ama kweli! Kama kuna uhakika wa namna hii kwa nini basi kwenda kwenye uchaguzi. Kama tunajua fulani ni mshindi iwe na isiwe, hatuna basi sababu za kutumia mapesa yote haya, si watangaze tu! Njiwa nyingi za namna yako zitapeleka Tz SHIMONI kama sio kuzimu. Duuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Najua hata utakavyoshindwa mwezi kesho utakataa

ahhh wapi!!! SIO chadema!... labda chama kingine.. mgombea askofu, makamu elimu yake ndio vile, mboye /mboe what his name is ... mmiliki wa danguro, bilcanas .. unategemea wazee wenye busara zao watatoa kura kwa chadema
 
Back
Top Bottom