Utafiti unaendelea

Utafiti unaendelea

150k hapo 50k ipo kushoto ni theluthi tu ndio inasonga front, na hiyo 500k haijawahi kueleweka wapi inaenda.
 
Tafiti zinaonyesha wenza wanaoweka bayana mapato yao huwa na maisha ya furaha saana na kudumu kwenye ndoa.

Mawazo binafsi.

Utakuta hiyo meseji kaiandika mtoto asiyehata na mchumba anayeishi kwa baba na mama wanaoambizana wanachoingiza kwa siku. Teknolojia imewarahisishia hata watoto wasiojua ndoa ni nini kuiongelea mitandaoni huku wanandoa wakikaa majukwaani kama huku wakiamini mawazo ya watoto wao.
Niliposoma hiyo para ya kwanza nikataka kujiuliza mkuu upo single nini.

Nime experience ugumu wa kuwa muwazi kwenye issue ya income ndani ya ndoa.
 
Unakwama wapi mkuu kwani bado hujajua kuwa pesa ndo bwana pekee anae weza kudumu na kila demu.
Naelewa mkuu bila pesa utaishia kuwaita shemeji tu na wanakuambia shemeji asiye na pesa ni rafiki wa dada tu sio shem [emoji38]
 
Naelewa mkuu bila pesa utaishia kuwaita shemeji tu na wanakuambia shemeji asiye na pesa ni rafiki wa dada tu sio shem [emoji38]
😂😂😂😂😂😂
Ndo hvo wanamaanisha ukiwa shem na una pesa hata wewe unaweza pindua serikali mkuu.
 
Back
Top Bottom