Utafiti umeonyesha kwamba kumbe.......

Utafiti umeonyesha kwamba kumbe.......

Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.

ILA

Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.

Kazi kwenu!
Kwa taaluma yangu ya afya nilionayo sijawai sikia ayo madin....ebu yataje kwa majina ayo madini

Halafu sio kila mtu anaweza kufanya research
 
na mvae tu tena bikini kabsaaa maana kushadadia mambo kumewazidi, tunavyojua kwenye korodani kuna barid ili kuregualate temperature. na ndio maana zikawekwa njee ya mwili, Leo mnatudanganya kuna joto! shame upon you
 
Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.

ILA

Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.

Kazi kwenu!
Ukisikia uchizi ndio huu 😀😀
 
Kila mtu aliyepitia uxi uu anapinga tuu kuhusu utafit uu,ebu ngoja wajuz wapitie APA wanaweza kusema kitu chanya kuhusu utafit uu.
 
Utafit huu ungetolewa na wataalamu kutoka pale Oxford university au Harvard university wote humu mngeushabikia na hata kuvaliana pichu kwa kac ya ajabu.
 
Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.

ILA

Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.

Kazi kwenu!
Hmm hii sayansi naona ni mpya hapa mjini, tutavaa hiyo chupi lakini tatizo litakua size, maana wife hiyo mi wowowo.
 
na mvae tu tena bikini kabsaaa maana kushadadia mambo kumewazidi, tunavyojua kwenye korodani kuna barid ili kuregualate temperature. na ndio maana zikawekwa njee ya mwili, Leo mnatudanganya kuna joto! shame upon you
Yani kwa alichokiandika unaweza pata ata wasiwasi na elimu yake
 
Back
Top Bottom