Utafiti: supu ya pweza sio busta, usijidanganye

Utafiti: supu ya pweza sio busta, usijidanganye

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,493
Reaction score
7,417
Ulaji wa supu ya pweza,karanga mbichi,mihogo mibichi na mbata kwa madai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na vyakula hivyo.

Kauli hiyo imetolewa na Dk.Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake kwenye semina ya wahariri iliyofanyika Morogoro iliyojadili nafasi ya mwanaume katika kuleta mabadailiko katika jamii juu ya afya ya uzazi na jinsia.

Alisema katika miji mingi kwa sasa supu ya pweza huuzwa ambapo wauzaji wamekua wakinadi kama msaada wa kurejesha heshima ndani ya jamii.

Alisema ufanyaji mapenzi unaathirika na vitu vingi na jamii lazima kuangalia ukweli huo ili kuwa na watu wanaojiamini katika mapenzi na wale ambao wana matatizo kupata ushauri wa kidaktari
 
Haya ndo mambo ambayo wasomi wetu wanashindwa kuyaelewa. Mtu anakurupuka kusema bila ya kueleza hao pweza na karanga zina faida gani mwilini.
 
Naweza kumuunga mkono huyu Daktari...kwa uelewa wangu mdogo kuna baadhi ya sea foods ni hatari sana kwa afya kwa kuwa zina level ya juu ya cholesterol...nadhani pweza wanaweza kuwa ni moja ya hilo kundi...

Sasa unaongeza nguvu huku unakaribisha shinikizo la damu...work done is equal to zero....

Mfano wewe mdau unaesema supu ya ng'ome na mbuzi...hapo unapalilia BP at early 40s...uanze kuwa forced kutumia dawa za BP zinazo affect performance yako ndio utajua kama hivyo vyakula vinaongeza au kupunguza nguvu...
 
Adharusi

Ukimfatilia yeye mwenyewe ni kati ya wale waliowakiamini kuwa pweza ni shetani, halafu aone faida zake?
Tuulize watu wa pwani tukuambie kiasi gani pweza ana hadhi!
 
Last edited by a moderator:
Naweza kumuunga mkono huyu Daktari...kwa uelewa wangu mdogo kuna baadhi ya sea foods ni hatari sana kwa afya kwa kuwa zina level ya juu ya cholesterol...nadhani pweza wanaweza kuwa ni moja ya hilo kundi...

Sasa unaongeza nguvu huku unakaribisha shinikizo la damu...work done is equal to zero....

Mfano wewe mdau unaesema supu ya ng'ome na mbuzi...hapo unapalilia BP at early 40s...uanze kuwa forced kutumia dawa za BP zinazo affect performance yako ndio utajua kama hivyo vyakula vinaongeza au kupunguza nguvu...
Yaani nawe unakuja na dhana? Huyo daktari wako kakwambia kuwa pweza analeta BP?
 
attachment.php
 
Naam sihitaji mtu atoke Mbeya au Bukoba kunifundisha kula pwrza.
 
Yaani nawe unakuja na dhana? Huyo daktari wako kakwambia kuwa pweza analeta BP?

The Nutrition of Octopus

Octopus is not a familiar food to everyone, but it is common in some types of cuisine like Japanese, Mediterranean or Polynesian. It has many [COLOR=#DD3C42 !important]health benefits and can be prepared in many different ways, making it a valuable addition to a balanced diet.
What is an Octopus?

Octopuses are cephalopods similar to squid (also called calamari) and are considered seafood with some of the properties of fish, but with an entirely different taste and texture. The most commonly eaten part is the arms, and sometimes the mantle (head area). Small octopuses are eaten whole. Octopus is a common[COLOR=#DD3C42 !important]ingredient[/COLOR] in sushi, as well as fish soups and pastas, and is occasionally eaten live, as well as fried, boiled, baked, grilled and so forth. Older, larger octopuses can be tough if they are not prepared properly.
The Health Benefits of Octopuses

Octopus is a low calorie, lean seafood, making it a good way to get protein in your diet without adding too much fat. There are approximately 140 [COLOR=#DD3C42 !important]calories[/COLOR] per 3 oz. (85g) of octopus, with only 1.8g of fat. Octopus is a very good source of iron, which is a common deficiency leading to weakness, fatigue and anemia.
Octopus is also a source of calcium, potassium, phosphorus and selenium. It provides several important vitamins including vitamin C, vitamin A and several B vitamins, as well as some omega-3 fatty acids. Omega-3 is an important nutrient which may decrease the chances of heart disease, as well as cancer and depression. It also seems to boost the immune system and aid in brain development in children.
Octopus also contains taurine, which is an organic acid that acts as an antioxidant, and may protect against some of the stressful effects of exercise. Taurine is also suspected to help prevent heart disease, although there are no conclusive studies regarding this yet. Some studies have also linked it with improved blood sugar levels, however this also needs further study.
Cautions About Octopuses

Octopus keeps less well than most seafood, with a shorter shelf life, so it should only be used if it is very fresh. It is possible to contract salmonella, or other forms of food poisoning from poorly kept or prepared octopus. Handling octopus may cause a mild skin rash in some people, however this can easily be prevented with food safety gloves. Some people may be allergic to octopus, particularly those who are known to be allergic to other kinds of seafood.
Octopus contains a relatively high amount of cholesterol. High blood cholesterol levels are one of the warning signs of an increased chance of heart disease. Blood cholesterol levels are more strongly linked with trans-fats and saturated fats, of which octopus has low levels, than with [COLOR=#DD3C42 !important]dietary[/COLOR] cholesterol. But most experts recommend moderating consumption of cholesterol as a precaution against heart disease.
Octopus is an excellent food for a diet, with low levels of fat and high levels of many valuable nutrients. It does contain cholesterol, but eating it in moderation will allow you to take advantage of its many health benefits without risk.

Source: Fitday
 
Ulaji wa supu ya pweza,karanga mbichi,mihogo mibichi na mbata kwa madai kwamba vinaongeza urijali kwa wanaume kumeelezwa kuwa ni dhana potofu inayostahili kupigwa vita kwa kuwa haina uhusiano kati ya urijali wa mwanaume na vyakula hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Dk.Cuthbert Maendaenda wakati akitoa mada yake kwenye semina ya wahariri iliyofanyika Morogoro iliyojadili nafasi ya mwanaume katika kuleta mabadailiko katika jamii juu ya afya ya uzazi na jinsia.
Alisema katika miji mingi kwa sasa supu ya pweza huuzwa ambapo wauzaji wamekua wakinadi kama msaada wa kurejesha heshima ndani ya jamii.
Alisema ufanyaji mapenzi unaathirika na vitu vingi na jamii lazima kuangalia ukweli huo ili kuwa na watu wanaojiamini katika mapenzi na wale ambao wana matatizo kupata ushauri wa kidaktari
Source HABARI LEO

Maziwa njugu mbichi tende kisha blenda, kinywa majibu in three days, halafu uje useme uwongo kama huyo doctor wa kuremu vitabu.

Pweza ni kiboko kama utamuuliza huyo doctor kashawahi kumla atakuwambia ana alagek, sisi watu wa pwani tuulizeni, seafood ndio Chakula chetu hasa zanzibar, pemba Huna kizazi watoto tisa, cheza mchezo na seafoods
 
Maziwa njugu mbichi tende kisha blenda, kinywa majibu in tree days, halafu uje useme uwongo kama huyo doctor wa kuremu vitabu.

Pweza ni kiboko kama utamuuliza huyo doctor kashawahi kumla atakuwambia ana alagek, sisi watu wa pwani tuulizeni, seafood ndio Chakula chetu hasa zanzibar, pemba Huna kizazi watoto tisa, cheza mchezo na seafoods

Hahahaha nimecheka apo huna kuzazi watoto 9 wapemba kwa kuzaa maashallah
 
Back
Top Bottom