Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

May 21, 2019
14
24
Samaki pweza ni samaki anayeishi baharini
  • Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills)
  • Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein”
  • Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi duniani.
  • Pweza ana mikono 8 na macho 2 makubwa.
  • Jamii za samaki pweza ni Zaidi ya jamii 289 kulingana na chapisho la(World Animal Foundation)
  • Samaki pweza ni mstaarabu na msafi (smart) kama paka wa nyumbani.
  • Pweza wa kawaida huwa anakuwa (inchi 12-36) urefu,(3-10)kg uzito.
  • Pweza mkubwa Zaidi duniani anapatikana katika bahari ya pacific(giant pacific octopus) jamii ya (Enteroctopus dofleini) anakuwa mkubwa hadi (5m) urefu na (50kg) uzito. Chanzo:(world animal foundation).
  • Pweza anakula nyama tu (carnivores) hupendelea kula jamii ya dagaa kamba(uduvi) na samaki, pweza anawinda kwa kutumia mikono yake 8.

  • HUJULINDA VIPI NA MAADUI(PREDATOR)?
  • Pweza anauwezo wa kubadili rangi kama kinyonga kulingana na mazingira aliyopo,unaweza kubadilika katika rangi tafauti kama kuwa rangi ya bluu,rangi ya pink,rangi ya ugoro(brown) au kijani. Ili kujificha na kufanana na mazingira yaliyo mzunguka kutokana na maadui.
  • Pweza pia humwaga wino na kukimbia kwa kasi sana na kumfanya adui asimuone kwa sababu ya maji kuchanganyikana na wino nakufanya hali kama ukungu(clouds).

  • PWEZA WANAZALIANAJE?
  • Uzalianaji wa pweza huwa ni wa kutaga mayai na kuyalinda mpaka kutotolewa.
  • Pweza ni samaki asiyekuwa na wivu wa kimapenzi jike moja hupandwa na madume Zaidi ya 10 wakiwa wamemzunguka jike kwa kuweka duara na kumueka jike katikati namadume kuachiana zamu ya kufanya mapenzi na jike.
  • Pweza dume huwa na mkono moja kati ya 8 mahususi kwa kupitisha mbegu na kumwagia kwa jike.
  • Pweza dume baada ya kumaliza mapenzi na jike hukaa muda kidogo na kufa kwasababu huwa anamaliza akili ya kutafuta chakula( anakuwa zezeta) hatimaye kuishiwa nguvu na kufa.
  • Pweza jike anauwezo wa kutaga mayai Zaidi ya (200,000 – 400,000) inategemeana na kubwa na jamii ya pweza.
  • Pweza jike hulalia na kulinda mayai bila kula chakula mpaka mayai ya totolewe au kuanguliwa pia huwalinda watoto wake kwa muda kidogo baada ya muda naye anakufa kwa kudhohofika kwa kutokla chakula kwa muda murefu.
 
Bado hujatueleza kazi ya moyo mmoja uliobakia, umeelezea miwili tu. Ahsante kwa elimu though!
 
Kweli penzi kitovu cha uzembe.Pole yake pweza dume !
 
Haha kweli haya maajabu ya samaki pweza. Demu akikwambia unaakili kama ya pweza sijui anakuwa amemaanisha nini haswa;
~ Una akili nyingi?
~ Unakuwaga zezeta baada ya mgegedo?
~ Huna wivu?
 
Samaki pweza ni samaki anayeishi baharini
  • Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills)
  • Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein”
  • Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi duniani.
  • Pweza ana mikono 8 na macho 2 makubwa.
  • Jamii za samaki pweza ni Zaidi ya jamii 289 kulingana na chapisho la(World Animal Foundation)
  • Samaki pweza ni mstaarabu na msafi (smart) kama paka wa nyumbani.
  • Pweza wa kawaida huwa anakuwa (inchi 12-36) urefu,(3-10)kg uzito.
  • Pweza mkubwa Zaidi duniani anapatikana katika bahari ya pacific(giant pacific octopus) jamii ya (Enteroctopus dofleini) anakuwa mkubwa hadi (5m) urefu na (50kg) uzito. Chanzo:(world animal foundation).
  • Pweza anakula nyama tu (carnivores) hupendelea kula jamii ya dagaa kamba(uduvi) na samaki, pweza anawinda kwa kutumia mikono yake 8.

  • HUJULINDA VIPI NA MAADUI(PREDATOR)?
  • Pweza anauwezo wa kubadili rangi kama kinyonga kulingana na mazingira aliyopo,unaweza kubadilika katika rangi tafauti kama kuwa rangi ya bluu,rangi ya pink,rangi ya ugoro(brown) au kijani. Ili kujificha na kufanana na mazingira yaliyo mzunguka kutokana na maadui.
  • Pweza pia humwaga wino na kukimbia kwa kasi sana na kumfanya adui asimuone kwa sababu ya maji kuchanganyikana na wino nakufanya hali kama ukungu(clouds).

  • PWEZA WANAZALIANAJE?
  • Uzalianaji wa pweza huwa ni wa kutaga mayai na kuyalinda mpaka kutotolewa.
  • Pweza ni samaki asiyekuwa na wivu wa kimapenzi jike moja hupandwa na madume Zaidi ya 10 wakiwa wamemzunguka jike kwa kuweka duara na kumueka jike katikati namadume kuachiana zamu ya kufanya mapenzi na jike.
  • Pweza dume huwa na mkono moja kati ya 8 mahususi kwa kupitisha mbegu na kumwagia kwa jike.
  • Pweza dume baada ya kumaliza mapenzi na jike hukaa muda kidogo na kufa kwasababu huwa anamaliza akili ya kutafuta chakula( anakuwa zezeta) hatimaye kuishiwa nguvu na kufa.
  • Pweza jike anauwezo wa kutaga mayai Zaidi ya (200,000 – 400,000) inategemeana na kubwa na jamii ya pweza.
  • Pweza jike hulalia na kulinda mayai bila kula chakula mpaka mayai ya totolewe au kuanguliwa pia huwalinda watoto wake kwa muda kidogo baada ya muda naye anakufa kwa kudhohofika kwa kutokla chakula kwa muda murefu.
Aziniye na mwanamke Hana akili kabisa. Pweza amethibitisha neno la kwenye Biblia
 
Pwezaria pizza
 
Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi duniani.

Kipimo cha akili yake kilifanyikaje na kililinganishwaje na samaki wengine?

Pweza ni samaki asiyekuwa na wivu wa kimapenzi jike moja hupandwa na madume Zaidi ya 10 wakiwa wamemzunguka jike kwa kuweka duara na kumueka jike katikati namadume kuachiana zamu ya kufanya mapenzi na jike.

Kuna jamii hapa nchini inatajewa kuwa na utaratibu huu japo haifi baada ya tendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom