Mbona jumatatu inajulikana wazi Ni siku ya kazi baada ya siku mbili za weekend!!Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.
Kutokana na saikolojia ya binadamu kuto penda kufanya kazi Basi kupitia hii ndio nawapa njia hii
Ukiona mtu wako anapenda Sana kwenda kazini siku ya jumatatu unda tume utakuja kunishukuru.
Nawasilisha.
Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.
Kutokana na saikolojia ya binadamu kuto penda kufanya kazi Basi kupitia hii ndio nawapa njia hii
Ukiona mtu wako anapenda Sana kwenda kazini siku ya jumatatu unda tume utakuja kunishukuru.
Nawasilisha.
Na wanaoenda kazini kilasiku vipi maana jumaatatu ni subset of all days.Habarini ndungu.....! Kutokana na swala zima la uaminifu kushuka chini siku Hadi siku Basi Kuna hii njia mpya ya kuweza kugundua Kama mtu wako anachepuka ni simple na rahisi Sana.
Kutokana na saikolojia ya binadamu kuto penda kufanya kazi Basi kupitia hii ndio nawapa njia hii
Ukiona mtu wako anapenda Sana kwenda kazini siku ya jumatatu unda tume utakuja kunishukuru.
Nawasilisha.
Sawa ni siku ya kazi Ila wengi wetu ni siku ngumu Sana hasa kuanza kuamka asubuhi na hii sio kwa wafanya kazi tu hata wanafunzi pia so ukiona mwanao anapenda jtatu ifike haraka ili aende shule ni kipimo tosha kuwa mwanao hapo nyumbani anaishi kwa sababu ni nyumbaniMbona jumatatu inajulikana wazi Ni siku ya kazi baada ya siku mbili za weekend!!
Au umelenga Nini?
Jtatu ni siku ngumu Sana kuinza Ila ukiona mwenza wako anaifurahia ifike haraka aende kazin we jua tu Kuna kitu amekimic hukoUngeniambia siku za jumamosi na jumapili hapo kidoooogo ingeingia akilini mwangu lakini sio siku ya j3 !!! Mweeee[emoji1787]
Namaanisha hivii siku ya jtatu ni ngumu Sana kwa tulio wengi na hii sio tu kazini hata shuleni kwa wanafunzi ni siku ngumu mno kuanza kuiswich akili ikae kikazi kazi kutokana na Bata la weekend so ni siku yenye kaugumu flani hivi. So ukiona mtu wako ni siku ambayo anaisubiria kwa hamu na anajiandaa vema kuipokea hii siku we jua tu Kuna kitu/mtu anae mfurahisha huko kazini Zaid yako.[emoji1][emoji1]Huyu mwamba atakuwa kapigwa tukio sio bure,vinginevyo funguka unamaanisha nini?
πππππππJtatu ni siku ngumu Sana kuinza Ila ukiona mwenza wako anaifurahia ifike haraka aende kazin we jua tu Kuna kitu amekimic huko