Utafiti: Maoni ya Wananchi Kuhusu Ushiriki Maandamano na Siasa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
docment.jpg


Twaweza inafanya uzinduzi wa Ripoti mbili za tafiti zake za Sauti za Wananchi siku ya Alhamisi Julai 5, 2018.

Moja inahusu Maoni ya Wananchi kuhusu ushiriki na maandamano na Ya pili inahusu Maoni ya wananchi kuhusu siasa kwa Tanzania

Uzinduzi huu utahusisha wageni waalikwa kadhaa ama wazungumzaji wakiwemo Makatibu wakuu wa ACT, CCM, TLP, NCCR, CUF na CHADEMA pamoja na Rais wa TLS, Bi. Fatma Karume.

Wengine ni Julius Mtatiro, Dr. Vicencia Shule(UDSM), Jenerali Ulimwengu, Maria Sarungi na JamiiForums' very own, Maxence Melo.

Mahali ni ukumbi wa JNICC.

Wote mnakaribishwa!

NB: JamiiForums itakuletea uzinduzi huu live kupitia kurasa zake za kijamii.
 
No. 02 na 10 nna mashaka nao kama watahudhuria,,,,,,,,,, namba nimejitajia tu wala sijamlenga mtu hahahhaahahahhhhh.......Daaah ila maisha yamekua ya kiuoga uoga sana.
 
Siyo kwamba polisi watakesha usiku kucha hapo na siku ya tukio watashinda kutwa mzima hapo?!
 
Back
Top Bottom