Utafiti: Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi VS ugumba

Utafiti: Kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi VS ugumba

Noooooooo
aelezeee mechanism behind wet dreams


watu wakishafika adolscence mwili ujitengenezea njia ya kutoa semen bila hata kufanya mapenzi ambazo ni ndoto nyevu
HATA USOFANYA MAPENZI SHAHAWA HUTOKA UOTAPO NDOTO NYEVU
HUYU DR NINA WASIWASI NAE...na je vipi kuhusu watu walioishi muda mrefu bil kujamiiana na baadae kujamiiiana uzeeeni na kupata watoto?
Cc.padri babu yule
kuna scenario nyingi sana ambazo zimemfanya kushindwa kuelezea hiyo enzyme(???) inayotengenezwa hapo and by the way
kafanya utafiti bila kuzingatia factor nyingi sana kama una link yote weka hapo tusome tuichambue....
#actnow

Mechanism behind wet dreams mbona inafahamika kitambo.Huyo dokta Una wasiwasi naye kwa vigezo vipi?Babu huyo padri Una uhakika hakuwa ana jamiiana kweli?Nikipata utafiti wote nitauwakilisha hapa , ila ugunduzi tu wa hiyo enzymes ni hatua kubwa Sana kwake katika udaktari wake.
 
Noooooooo
aelezeee mechanism behind wet dreams


watu wakishafika adolscence mwili ujitengenezea njia ya kutoa semen bila hata kufanya mapenzi ambazo ni ndoto nyevu
HATA USOFANYA MAPENZI SHAHAWA HUTOKA UOTAPO NDOTO NYEVU
HUYU DR NINA WASIWASI NAE...na je vipi kuhusu watu walioishi muda mrefu bil kujamiiana na baadae kujamiiiana uzeeeni na kupata watoto?
Cc.padri babu yule
kuna scenario nyingi sana ambazo zimemfanya kushindwa kuelezea hiyo enzyme(???) inayotengenezwa hapo and by the way
kafanya utafiti bila kuzingatia factor nyingi sana kama una link yote weka hapo tusome tuichambue....
#actnow

Hawa ndio wa kuna Dr.Ndodi!..
 
huo ni ujinga ambao unahalalisha dhambi...uliefanya utafiti huu unamtangaza na kumdumisha shetani!
 
Mechanism behind wet dreams mbona inafahamika kitambo.
Huyo dokta Una wasiwasi naye kwa vigezo vipi?
Babu huyo padri Una uhakika hakuwa ana jamiiana kweli?
Nikipata utafiti wote nitauwakilisha hapa , ila ugunduzi tu wa hiyo enzymes ni hatua kubwa Sana kwake katika udaktari wake.

Nimeandika hapo pia kwamba hata kama usipo do utatoa manii tu kuhusu yeye nipe link ya hiyo habari niisome
 
Kama issue nikotoa shahawa basi hata ndotoni zaweza toka au pun....to. Siolazima Ku do.
 
Back
Top Bottom