Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Imekuwa kawaida kwa mtu kuingizwa kwenye kundi fulani hasa anapokuwa ametoa maoni yake yasiyo wapendeza watu fulani!
Kutokana na mchango wa mtu basi watu wanaopingana naye humwita kuwa ni kundi la chama tawala au upinzani!
Leo nimeona tufanye sampling kidogo ya watu walioko JF na niweke makundi mawili;
*Wanachama wa vyama vya siasa(kwa maana wana kadi zilizo hai)
*Wasio wanachama
Tuweke alama panapostahili.