Utafiti hakiElimu: Elimu bure itarudisha nyuma taaluma, walimu wakosa morali, hawana posho

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_2017-04-05-12-22-48.png
Screenshot_2017-04-05-12-22-59.png
Screenshot_2017-04-05-12-23-15.png
Screenshot_2017-04-05-12-23-25.png
 
Hilo mbona liko wazi mkuu, hata huyu katibu mkuu mpya wa wizara ya kilimo na umwagiliaji aliisha wahi
lisemea kitambo sana, sema kibongo bongo ndo twasubiri "asiye sikia la mkuu..."
 
Tatizo sio Kutoa Elimu bure tatizo ni kuwa anayetoa hii Elimu Bure hakujipanga kutoa Elimu bure alizungumza tu majukwaani baada ya kuona Mwingine anazungumza.

Kwa kiasi fulani imesaidia hasa kwa zile kaya maskini zaidi ila Imekuja na Changamoto.
 
Back
Top Bottom