Utafiti duuuh

Utafiti duuuh

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,218
utafiti habari za kusinzia kwenye daladala utajakufa
 
Attachments

  • 1417849664562.jpg
    1417849664562.jpg
    59.6 KB · Views: 543
Last edited by a moderator:
utafiti kama hujafa njoo huku masai dada inaleta shiidaaaaa!:A S-rap:
 
Nilipoamka kwanza shingo ilikua haiendi kulia wala kushoto na sijui niliota ndoto gani ila nimeamka hilo lichuma halipo....

hahahaha utakua umengoaa haha
hiyo shingo kapige exray
 
masai dada hiyo safari ilikua si mchezo, hapo tunaitafuta kwa mzee madiba na hatujasimama popote....
Kumbe utafiti hujafa, nilishaweka order ya maturubai na viti toka MAEZEKI na advance nimetoa, ngoja nifuatilie hela yangu japo nikale Kitimoto KILO 3 na bapa mbili za Konyagi kwa PAMELA wikiendi ikae fresh.
 
Huo ulikua zaidi ya uchovu Gwangambo looooong safari
 
Last edited by a moderator:
Kumbe utafiti hujafa, nilishaweka order ya maturubai na viti toka MAEZEKI na advance nimetoa, ngoja nifuatilie hela yangu japo nikale Kitimoto KILO 3 na bapa mbili za Konyagi kwa PAMELA wikiendi ikae fresh.

hahaahhaa
mizinga miwili wewe una hatareeee
 
usingizi mwanaharamu kabisa... utafiti ndo anaangusha namna hiyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom