Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Asalaam aleykum Ndugu wapenzi,
Ni usiku mwingine wa Jumamosi Nyingine tena....Kwanza poleni na Mahangaiko ya kutafta mkate wa Kila siku!
Niende moja kwa moja kwenye mada Husika hapo juu!
Ni ukweli usiopingika kwamba inafika stage katika maisha ya mwanadamu haijalishi mwanamke au mwanaume unatamani ufanyee uwezavyo ili uweze kutulia au kudumu na mpenzi mmoja ambaye huenda una malengo nae haijalishi una mchepuko au la... !
Yaani Pamoja na kuwa na mchepuko unakuwa unaelewa kwamba yupi una nia ya kutengeneza nae future na kutulia na kudumu pamoja!
Je tutumie njia zipi ili kuweza kutimiza hilo maana inakuwa jambo la kupendeza pale mnapodumu kwenye uhusiano kwa muda mrefu na inawapa wahusika nafasi nzuri ya kuaminiana na kufahamiana kiundani zaidi!
Niwatakie usiku murua kabisa!