Utafanyaje? Mremba kucha anamsugua miguu mkeo nyumbani?

Muelimishe mkeo kwamba atapata magonjwa na fungas sugu zisizopona kwa kutumia vifaa vya kuchonolea makucha vya hao nyambizi
Harafu sio nzuri kwa afya ya ndoa yetu
We mtu unashikwa vidoleni mpaka unajisikia nyege K inalowa mbele ya mwosha kucha je si hatari hiyo ikitokea dogo akajiongeza kidogo tu si anakula mzigo
Ole wako nimkute huyo nyoko hapa nitamkata masikio
Fyuuuuuuu.......
Acha kudharau Kazi za watu,matusi hayo mfungashie mwanamke wako kama hutaki apate huduma hiyo
 
sasa si ili huduma iwe nzuri mteja afurahi au?
Raha mpate nyie huku waume zenu roho zinaturuka! Kwani huwezi kujisugua mwenyewe? Wanawake hasa wake za watu siku hizi mnarahisisha sana mambo, itafika wakati mtaona poa tu hata kufanyiwa body massage na midume huku mmejifunga taulo la kiuno mkiwa mpo chupiless!
 
Kama roho zinawaruka si mtusugue???
 
wanawake mtanisamehe hapa...hao madogo wasugua kucha ni hatari, niliwahi kumiliki saloon ya kike sehem flani, nilichukua washkaji zangu toka congo nikawaweka pale, kila siku iendayo kwa mungu, rungu lilioshwa na mzigo mpya, dhakari zilisuguliwa hadi nikawa na khofu kakude kanaweza kuwa penseli, na advantage kubwa ilikuwa ni kuongea kiswahili katika saloon yetu iliyokuwa katika nchi ya wanaoongea kifaransa na kiingereza kidogo
 
Tuachieni mr kucha wetu wanatupa raha. Nyie mnavyoenda kunyoa huko masaloon mnapetiwa na kukandwa na wadada ambao wako kimitegotego mnaona raha.
Mkuki kwa nguruwe.....
 
Tuachieni mr kucha wetu wanatupa raha. Nyie mnavyoenda kunyoa huko masaloon mnapetiwa na kukandwa na wadada ambao wako kimitegotego mnaona raha.
Mkuki kwa nguruwe.....
Halafu mnapeenda kushindana, mengine mmezee tunaenda kunyoa ili kuweka personality nzuri kwenye vikao maofisini na kwenye deals ili tulete msoc nyumbani
 
Halafu mnapeenda kushindana, mengine mmezee tunaenda kunyoa ili kuweka personality nzuri kwenye vikao maofisini na kwenye deals ili tulete msoc nyumbani
wenyewe tunafanya hivo kujikeep swafi miguu isuguliwe iwe laini na ipendeze, la sivo mna maneno ooh mke tangu nimuoe ni mchafu urembo kaweka pembeni....
 
wenyewe tunafanya hivo kujikeep swafi miguu isuguliwe iwe laini na ipendeze, la sivo mna maneno ooh mke tangu nimuoe ni mchafu urembo kaweka pembeni....
Si uniambie nikununulie vifaa halafu dada wa kazi anakusugua kama hajui unamfundisha, kwani lazima ukasuguliwe saloon?
 
Halafu mnapeenda kushindana, mengine mmezee tunaenda kunyoa ili kuweka personality nzuri kwenye vikao maofisini na kwenye deals ili tulete msoc nyumbani
Kutengeneza kucha tunataka kuwa smart pia. Vitu vidogo sana hivyo acheni kulalamika.
 
Mmmh yani dada wa kazi anisugue miguu? Kwanini sio mme? Siwezi kumpa dada hiyo kazi[/QUOTE
Haaa! Si unaona sasa, yaani dada wa kazi hutaki ila Mr Kucha akusugue kiroho safi na pesa unampa! Na pesa zenyewe nimekupa mimi umetaka za kwenda kutangeneza nywele kumbe wakandwa kandwa miguu na kidume! Mnatutaftiaga kesi kwa hao Mr Kuchas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom