Utafanyaje? Mremba kucha anamsugua miguu mkeo nyumbani?

Ujue ifikie kipindi tuacheni dhana mbaya kwamba kila mpaka rangi kucha basi anakuwa na tabia zilizo mbovu juu ya mteja wake mi nakataa aisee.

Kiukweli ile ni kazi na kama mteja kamuita akatae? Hapo shida itakuwa kwa mwanamke sio bure ikiwa mtu kaja kukuosha kucha na wewe unajitanua tanua pasi kujijali na kujiheshimu unadhani huyo muosha kucha afanyeje sasa.
Wambie hao, waheshimu kazi za watu wivu waajabu waweke pembeni...
 
Watu wamekuwa malinbukeni aisee hasa mabinti! ! Mi kwa kweli sikubalianai na huo ujinga. Mwili ni wako jisafishe. Ndio maana ndoa inaanza kuoneka ni shida kubwa kwenye jamii yetu. Unaweza fikiria ni wivu, ushamba n.k lakini mshamba na mjinga ni wewe mwanamke unayeachia mapaja hadharani kila mtu ayaone kisa eti unataka makucha sio ya paka??
 
Tena hawa madogo now days wanakwenda na GYM kabisa eti kuvutia Wateja,haha wake zenu hatarini jamani,lakini pia mapenzi wetu matatani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom