induna's
Member
- Jul 26, 2014
- 40
- 3
Kuna jamaa alikuwa anafanya usafi ndani ya ndege mara akapata kitabu,kitbu hicho kinamaelezo ya kuendesha ndege, jamaa kila akisoma anafanya na kitendo!!!!ikaanza jinsi ya kuwasha akawasha, ikafuata jinsi ya kupaisha akapaishaaa sasa akiwa na ndege angani akaendelea kusoma but
Kilichofuata akafka mwisho wa kitabu na imeandikwa kwakiendelea mbele na somo kasomee kozi miaka 5 je mwenzangu ungefanyaje na upo angani
Kilichofuata akafka mwisho wa kitabu na imeandikwa kwakiendelea mbele na somo kasomee kozi miaka 5 je mwenzangu ungefanyaje na upo angani