Utafanyaje...ilishawahi kukuta?

Daah pole,mimi kiukweli nadhani angeleta fire kuzima moto....
 
Poleni sana mliopatwa na maswahiba haya, hebu niwaulize, hivi inawezekana ukamwagiwa maji ukiwa umesimama tu, katika hali ya kawaida huyu jamaa angekuwa ktk action ya kukwepa, involuntarily. Au kuna kautundu kamefanyika kwenye picha?
 
unakwepaje sasa unalala chini au unayaruka na wewe nipe mbinu huku kwetu mabonde kuinama ni shiiida kila siku naponea chup chup lol
 
nasubiri hadi nikauke halafu natafuta perfume
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…