Utachukua uamuzi gani ukigundua mpenzi wako alikusaliti?

Drink a lot of water then say 3 times I shall over come...I shall over come ...I shall overcome... Then unakunywa tena vikombe 2 vya maji huku unafuta namba yake...then unatafuta pisi mtoto Kali moja sana ambayo haijawai tokea kusini mwa jangwa la sahara...

Ukkikosa hiyo pisi kali mtoto ingia ktk nyuzi za wanaotafuta mahusiano umu pick one for the road...

Nb
Pisi kali mtoto ni pisi kali ranging from 20-25
 
Hicho ni kipimo tosha kwake kama yuko na mapenzi ya dhati kwako HAKUFAI Chomoa hiyo pini faster rusha kule akalipuke.
 
Drink a lot of water then say 3 times I shall over come...I shall over come ...I shall overcome... Then unakunywa tena vikombe 2 vya maji huku unafuta namba yake...then unatafuta pisi mtoto Kali moja sana ambayo haijawai tokea kusini mwa jangwa la sahara...

Ukkikosa hiyo pisi kali mtoto ingia ktk nyuzi za wanaotafuta mahusiano umu pick one for the road...

Nb
Pisi kali mtoto ni pisi kali ranging from 20-25
Kwenye love connect kule kuna single mothers wengi na ni 45+ na ndy tunashinda nao humu ndani kama vijana, unashaurije
 
ikiwa bado una muhitaji
Kama bado unamhitaji, (ingawa hujafafanua) inabidi uendeleze uhusiano kutimiza huo "uhitaji".. Ila mapenzi yatapoa, yatakosa ladha.
Ikifika muda muafaka, meaning uhitaji ukiisha una piga chini upesi😎
 
Unaongeza bidiii na maarifa ya kutafuta hela.

Haki nakuahidi "Mondi" wewe "Zari" wako atarudi akisikia mapene yameongezeka. Akirudi nishtue nikupe maarifa ya jinsi ya jinsi
 
Back
Top Bottom