mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,670
- 45,395
Anajikinga, wavulana mkishatupia mimba mnalala mbele ataenda wapi na zigo mkimtwika?So yey mwanamke yupo xawa!!???
Anajikinga, wavulana mkishatupia mimba mnalala mbele ataenda wapi na zigo mkimtwika?So yey mwanamke yupo xawa!!???
Mbona niliwahi gundua na niliendelea kuipigaupo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?
Kweli mkuu apo nakubal,Anajikinga, wavulana mkishatupia mimba mnalala mbele ataenda wapi na zigo mkimtwika?
Mi nlmwambia avtoe mkuuMbona niliwahi gundua na niliendelea kuipiga
IIa mi nlmwambia avtoe, vp nlkoxea!??Kwa tafsir ya haraka bora hata hyo kidogo anajitambua
Hapan hakua bikra!!?Nitaona anajitambua na yupo makini, kwani umemkuta bikra? alikuwa anajilinda huko atokapo na aendapo.
Mi nlmwambia avtoe mkuu
Umeandika thread yako kwa kutumia maneno ya kike kike sana.......upo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?
Basi kama ni hivyo furahia umepata mwanamke anajua thamani yake ya kujilinda na mimva zisizotarajiwa, Ukimwi unaua kapime kabla ya mambo mjuane afya zenu. Asante.Hapan hakua bikra!!?
Naweza mbonaAkishavitoa una uwezo wa kulea mimba mkuu?
Axante MkuuBasi kama ni hivyo furahia umepata mwanamke anajua thamani yake ya kujilinda na mimva zisizotarajiwa, Ukimwi unaua kapime kabla ya mambo mjuane afya zenu. Asante.
Kaa nae muulize aliviweka vya kazi gani?? Na liniNo ckumchunguza ila iltokea 2 nkavxhka
Naweza mbona
Nitafurahi na kumuona anajitambua kuweka njia za uzazi haimaanishi ni malaya ila kujitambua na kujua kuwa kuitengeneza kesho yako kunaanzia kwenye mahusiano uliyonayo au unataka apate mimba alafu uanze kuisi ni yangu au si yangu na kuanza kupiga hesabuupo kwenye mausiano na msichana na unampenda sana, baada ya wiki 3 kwny mauxiano, unagundua kua kwenye mkono wa kushoto ameweka vizuia mimba yaan "vinjiti" utachukua a2a gan....?!?
Avitoe unataka kumuowa au ipi dhamira yako kwake kama hutaki kumuowa acha kujipa majuku yasiyokuusu na acha kumpelekesha ili uonekane kidumeMi nmemwambia avtoe,,,, vp ntakua npo wrong!!?