Utachagua kufanya kazi na yupi kati ya hawa?

imetokea umeambiwa uchague mtu mmoja wa kuishi na kufanya naye kazi utachagua yupi ikiwa bado hujawahi kuwajua tabia zao

1 Mwafrika
2 Mzungu
3 Mhindi
4 Mwarabu
Nachagua mzungu kwa sababu mzungu si mchoyo kukupa maarifa na hana roho mbaya kutaka nawe ufanikiwe. Wa pili ni mwafrika, tutashikana mashati akitaka kunidhulumu. Hao wengine wahindi, waarabu ni tabu tupu kugeuzwa mtumwa wao asiye na faida, shame on them
 
imetokea umeambiwa uchague mtu mmoja wa kuishi na kufanya naye kazi utachagua yupi ikiwa bado hujawahi kuwajua tabia zao

1 Mwafrika
2 Mzungu
3 Mhindi
4 Mwarabu
Duuuh,hili la bandari bado mnalo Tu

Wanaume wa miaka hii hawana tofauti na wanawake,wanasunda sana mambo moyoni

Pole sana
 
imetokea umeambiwa uchague mtu mmoja wa kuishi na kufanya naye kazi utachagua yupi ikiwa bado hujawahi kuwajua tabia zao

1 Mwafrika
2 Mzungu
3 Mhindi
4 Mwarabu
2. Mzungu hasa akiwa Mmarekani au Mfaransa itapendeza mno huwa wanajali utu na maslahi ya wafanyakazi.

Hao wengine tia kwenye dustbin ukianza na Muhindi ni wavivu na kooma wenye zarau sana bora hata mchina kidogo anaweza kukuachia gap uishi.

Mwafrika mwenzangu ni snitch na roho mbaya. Tutaishia kulogana tu.
 
2. Mzungu hasa wa Marekani 🤣 hao wengine tia kwenye dustbin
Hawa si ndio wakala wa upinde lakini 😀😀😀

Anyway,MZUNGU wa marekani amenyooka,ana maarifa ya kutosha na sifa nyingine nzuri

Hofu yangu wako against nature na ni wakala wa Lucifer bila kupepesa macho,ukibisha we bisha tu
 
Sawa kila kitu kina ubaya wake ila kwenye micro level ni watu wazuri tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom