Aah wapiMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Vyeti vipi viko sawa sasaMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kama hao Tiss wanafanya kazi kweli, hebu waangalie aliyoyafanya jamaa , kama kweli yanalingana na mapato ya mkuu wa mkoa, tena kwa miaka minne na nusu tu.Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kumbuka Makonda alimtabiria mama kuwa makamu wa Rais na ikatokea na alishawai kusema yeye kama kijana anampenda sana mama....Hapa mimi naona mama atalipa fadhila tu.,makonda atapewa kazi.Kama kumrudisha Makamba Jr imeshindikana... Basi ndivyo hivyo hivyo itavyoshindikana kumrudisha Makonda
Hawezi lipa fadhila... Sababu mama kwa sasa ni kama anatembea na Tune ya waTz... Hasa wenye kuleta mijadala mitandaoni... Rejea huyo aliyeteuliwa na kutenguliwa ndani ya masaa 12Kumbuka Makonda alimtabiria mama kuwa makamu wa Rais na ikatokea na alishawai kusema yeye kama kijana anampenda sana mama....Hapa mimi naona mama atalipa fadhila tu.,makonda atapewa kazi.
Wewe ndio makonda mwenyewe. Tuondolee ujinga muuaji mkubwa weweMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
makonda akirudishwa na wale ndugu zetu waliotolewa sababu wamefoji vyeti nao warudishweMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Unawatisha watu wasirudi DARESALAMA?Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Mkoa wa Mwanza Makonda au yule mzee wa SimiyuMakonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.
Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi