Utabiri wangu: Makonda kurudishwa ukuu wa mkoa

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,478
2,301
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
 
Itoshe na mimi kuweka bandiko langu hapa,niwe mmoja wa shuhuda wa baadae..

Itoshe kusema imeisha hiyo!

Suala la muda tuu ..

Nina imani tutarudi humu kwenye huu uzi
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Kama hao Tiss wanafanya kazi kweli, hebu waangalie aliyoyafanya jamaa , kama kweli yanalingana na mapato ya mkuu wa mkoa, tena kwa miaka minne na nusu tu.

Odhis *
 
Kama kumrudisha Makamba Jr imeshindikana... Basi ndivyo hivyo hivyo itavyoshindikana kumrudisha Makonda
Kumbuka Makonda alimtabiria mama kuwa makamu wa Rais na ikatokea na alishawai kusema yeye kama kijana anampenda sana mama....Hapa mimi naona mama atalipa fadhila tu.,makonda atapewa kazi.
 
Hawezi lipa fadhila... Sababu mama kwa sasa ni kama anatembea na Tune ya waTz... Hasa wenye kuleta mijadala mitandaoni... Rejea huyo aliyeteuliwa na kutenguliwa ndani ya masaa 12
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
makonda akirudishwa na wale ndugu zetu waliotolewa sababu wamefoji vyeti nao warudishwe
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Unawatisha watu wasirudi DARESALAMA?
 
Makonda ni kiongozi mzuri na mchapa kazi sana japo hakuna binadamu asiye na mapungufu. Kama kijana mchango wake bado ni wa muhimu sana katika ujenzi wa Taifa letu.

Ni suala la muda tu ila namuona Makonda akirudishwa kwenye ukuu wa mkoa nafasi ya juu zaidi
Mkoa wa Mwanza Makonda au yule mzee wa Simiyu
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom