Utabiri wangu kuhusu yale yatakayojiri mwaka 2014

MAANA YA HERUFI YA JINA LAKO LA KWANZA

HERUFI A

Mwenye jina linaloanziana na herufi A ni mtu anayependa mambo makubwa, anajiamini na mwenye uwezo wa kutimiza malengo yake. Ni mtu mwenye tahadhari, mchangamfu na mpenda matukio. Anapenda Kuheshimiwa, anapenda Mamlaka, na ana kiburi, na hasira. Herufi A inawakilisha Nyota ya Punda,

HERUFI B
Mwenye jina linaloanziana na herufi B ni mtu, mkarimu, muaminifu, na hupenda kazi. Ni Jasiri, shujaa na mkatili katika vita au pale anapotaka kulinda vilivyo katika himaya yake. Herufi B inawakilisha Nyota ya Ngombe,

HERUFI C
Mwenye jina linaloanziana na herufi C ni mtu wa kukubadilika badilika, mshindani na hupenda kupigania malengo yao wanayopenda. Ni watu wa wabunifu na wanaopenda mawasiliano Herufi C inawakilisha Nyota ya Mapacha,

HERUFI D
Mwenye jina linaloanziana na herufi D ni mtu anayependa usawa, Biashara. Ni watu wanaopenda kuamrisha na mwenye kupenda usafi. Ni jeuri na wenye msimamo. Herufi C inawakilisha Nyota ya Kaa,

HERUFI E
Mwenye jina linaloanzia na herufi E ni mtu mwenye roho nzuri ,yenye mapenzi na huruma. mwenye kupenda uhuru katika mapenzi na mchangamfu. Kinyume na hivyo atakuwa ni mtu asiotegemewa na kigeugeu. Herufi E inawakilisha Nyota ya Simba,

HERUFI F
Mwenye jina linaloanzia na herufi F ni mtu mwenye mapenzi,huruma , roho nzuri na ana uwezo wa kuwafariji watu. Ni mtetezi wa watu na mwenye huzuni lakini ni mzito wa kufanya maamuzi. Herufi F inawakilisha Nyota ya Mashuke,

HERUFI G
Mwenye jina linaloanzia na herufi G ni mtu mwenye mwenye imani ya kidini na nguvu za kiroho. Ana kipaji cha kubuni na uwezo wa kutatua matatizo ya watu. ni mtu mwenye hisia kali,msomi, mpweke na mkaidi wa kukubali ushauri wa kutoka kwa watu. Herufi G inawakilisha Nyota ya Mizani,

HERUFI H
Mwenye jina linaloanzia na herufi H ni mtu mwenye ubunifu na nguvu katika biashara, hupata faida kubwa kutokana na jitihada na bidii zake. ni mwenye mawazo mengi, mchoyo na mbinafsi. Herufi H inawakilisha Nyota ya Nge,

HERUFI I
Mwenye jina linaloanzia na herufi I ni mtu mwenye kupenda sheria, ana huruma na utu. Wakati mwingi hajiamini na ni mwenye hasira za haraka. Herufi I inawakilisha Nyota ya Mshale,

HERUFI J
Mwenye jina linaloanzia na herufi J ni mtu mwenye matamanio,mkweli, mkarimu na muerevu. asiyekubali kushindwa na hupata mafanikio makubwa. Wakati mwingine anakuwa ni mtu mvivu na aliyekosa mwelekeo. Herufi J inawakilisha Nyota ya Mbuzi,

HERUFI K
Mwenye jina linaloanzia na herufi K ni mtu mwenye jeuri. mwenye msimamo thabiti,mashuhuri na mwenye uwezo wa kushawishi na kuamsha hisia za watu wana uwezo wa utambuzi ambao watu wengi hawana. ni mtu asioridhika na hali ya kimaisha. Herufi K inawakilisha Nyota ya Ndoo,

HERUFI L
Mwenye jina linaloanzia na herufi L ni mtu wa vitendo, mwenye hisani na aliyejipanga vizuri kimaisha. Huwa wanapata ajali mara kwa mara. Herufi L inawakilisha Nyota ya Samaki,

HERUFI M
Mwenye jina linaloanzia na herufi M ni mtu mwenye kujiamini sana, mchapakazi na hupata mafanikio. ni mtu mropokaji,mwenye haraka na mwepesi kukasirika. Herufi M inawakilisha Nyota ya Punda

HERUFI N
Mwenye jina linaloanzia na herufi N ni mtu mwenye ubunifu, hisia kali na hupenda kuwasiliana lakini ana wivu sana. Herufi N inawakilisha Nyota ya Ngombe

HERUFI O
Mwenye jina linaloanzia na herufi O ni mtu mwenye subra, mvumilivu na mwenye bidii ya kusoma. Ni mtu mwenye kupenda kutumikia jamii na mwenye uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia. Herufi O inawakilisha Nyota ya Mapacha

HERUFI P
Mwenye jina linaloanzia na herufi P ni mtu mwenye uwezo wa kuamrisha na hekima kubwa. Ana nguvu za kiroho lakini anapenda sana kujitumbukiza kwenye mambo ya watu. Herufi P inawakilisha Nyota ya Kaa

HERUFI Q
Mwenye jina linaloanzia na herufi Q ni mtu mwenye kupenda mambo ya asili. Ni watu wasiyoelezeka nawana uwezo wa kuonyesha vitu visivyojulikana hata hivyo ni mtu aliyepooza sana. Herufi Q inawakilisha Nyota ya Simba

HERUFI R
Mwenye jina linaloanzia na herufi R ni mtu mwenye uvumilivu, wenye huruma lakini ana hasira za haraka. Muda wote anakuwa mpenda amani. Herufi R inawakilisha Nyota ya Mashuke

HERUFI S
Mwenye jina linaloanzia na herufi S ni mtu mwenye mvuto mkali wa kuleta utajiri. Ni watu wenye maamuzi ya ghafla na hupenda mageuzi makubwa. Herufi S inawakilisha Nyota ya Mizani

HERUFI T
Mwenye jina linaloanzia na herufi T ni mtu mwenye kupenda ushauri wa kiroho, anatumia nguvu za ziada kusaidia watu na hupata mafanikio baada ya muda mrefu. Ni watu wenye hisia kali sana na ni wepesi kushawishika. Herufi S inawakilisha Nyota ya Nge

HERUFI U
Mwenye jina linaloanzia na herufi U ni mtu mwenye bahati kubwa kwa ujumla. Anapenda uhuru katika mapenzi. Lakini ni mtu mbinafsi, mwenye tamaa na aliyekosa maamuzi. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mshale.

HERUFI V
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi.

HERUFI W
Mwenye jina linaloanzia na herufi W ni mtu muwazi, wachangamfuu kupita kiasi na mwenye uwezo wa kutambua mtu mwema na mbaya. Ni watu wenye tamaa na hufanya mambo ya hatari. Herufi W inawakilisha Nyota ya Ndoo.

HERUFI X
Mwenye jina linaloanzia na herufi X ni mtu asiyependa kuwekewa vizuizi katika kwenye anasa na ni rahisi kujiingiza kwenye uzinzi na kujitoa uaminifu. Herufi X inawakilisha Nyota ya Samaki.

HERUFI Y
Mwenye jina linaloanzia na herufi Y ni mtu mwenye kupenda Uhuru na hawapendi kupingwa jambo lao lolote. Ni watu wanaokosa uamuzi na husababishia kupoteza bahati katika maisha. Herufi Y inawakilisha Nyota ya Punda

HERUFI Z
Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ng'ombe
 
mh mkuu unanikumusha historia ya carl marx maana alikuwa ameandika vitabu katika taaluma mbalimbali, economics,sociology,political science, law, philosophy etc
sasa mkuu mzizi nahisi wewe utakuja siku moja utasema ni mchungaji nabii mtume ila heri tu.
 
mimi jina langu linaanza na herufi c nyota yangu mshale sayari yangu jupita na nguvu zangu ni moto sasa uhusiano na mapacha umekujaje
nijuze mkuuu
 
Wewe kama ni nyota yako ni ya Mshale basi mume wako atakuwa mtu mwenye nyota ya Mapacha ndie atakayekuwa mume wako wa maisha na mtaelewana sana. Kwa sababu Mshale ni nyota ya moto na Mapacha ni nyota ya upepo kwa hiyo moto na upepo vinelewana sana. Mtafute mtu mwenye nyota ya mapacha awe mume wako wa maisha.
 
Mkuu mziziMkavu nipo hapo kwenye p nani mwanamke mwenye jina linaloanza na herufi ipi atanifaa?
 
Inachanganya sana mara herufi inabadili nyota,ukikaa vizuri tareg nayo inaweka mambo mengine.

Msaada
Jina linaanza na E
Nimezaliwa Wa sita
 
Wewe kama ni nyota yako ni ya Mshale basi mume wako atakuwa mtu mwenye nyota ya Mapacha ndie atakayekuwa mume wako wa maisha na mtaelewana sana. Kwa sababu Mshale ni nyota ya moto na Mapacha ni nyota ya upepo kwa hiyo moto na upepo vinelewana sana. Mtafute mtu mwenye nyota ya mapacha awe mume wako wa maisha.

kwikwiiwiwiwiiwiwiw ahh mzizi tafadhali bwana, kwa bahati mbaya au nzuri nimeshaolewa na mume wangu anaangukia katika nguvu za maji yeye ni aquarious na tunaendana sana na kuelewana sana naamini yeye ndio wangu wa maisha kwa sifa zetu si unaelewa moto na maji vinavyokuwa.
tetetee mimi ni moto ni balaaaa ila yanapokuwapo maji nitulia tuli. japo wakati mwingine moto huweza kuwaka juu ya maji na usizimevilevile.
wasemaje mkuu
 
Ni kweli munaelewana lakini sio ukweli kuwa nyota ya Aquarious ni nyota ya maji. Nyota ya Aquarious ni nyota ya upepo na wewe nyota yako ni ya moto ndio maana munaelewana ingelikuwa huyo mume wako ana nyota ya maji musingelishi hata kidogo kila siku ingelikuwa ni ugomvi na mkorofi ungelikuwa ni wewe. Kwa sababu una nyota ya moto na nyota ya moto inazimwa na maji moto aduwi wake mkubwa ni maji. Ushahidi kuwa nyota ya mume wako Aquarious ni Upepo soma hapa chini.

[TABLE="width: 745, align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
mainpic.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: blue-bottom, width: 243"]Aquarius - January 21 - February 19
Pisces - February 20- March 20
Aries - March 21 - April 20
Taurus - April 21 - May 21
Gemini - May 22 - June 21
Cancer - June 22 - July 22
Leo - July 23 -August 21
Virgo - August 22 - September 23
Libra - September 24 - October 23
Scorpio - October 24 - November 22
Sagittarius - November 23 - December 22
Capricorn - December 23 - January 20[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Astrology Zodiac Elements

The twelve astrology signs are grouped into four essential elements to which life would not be possible without. They are air, fire, water and earth. Each of these four elements has characteristics independent to

each that the twelve astrology signs are based upon. The symbolism is so exact that the element that your astrology sign lies under greatly influences your personality traits and your characteristics. All of the elements

must work in sync with each other so that one does not get out of control, they have to co-exist peacefully in order to sustain a balance in life. That is what astrology signs are about, balancing yourself and others in the game of life.

Fire Signs - Aries, Leo, Sagittarius (NYOTA ZA TABIA YA MOTO)

Fire can do good, like cooking food to eat and keeping us warm or it can do great harm, like burning a house down. Fire is a combustible, unpredictable element, a chemical reaction that can go off easily and quickly go

from a small flame to a raging fire. Fire astrology signs can ignite easily too, they are very temperamental however if managed properly, they can be very beneficial. In fact, fire signs must be managed and under

control in order to be of benefit. Fire signs can be emotionally volatile yet they are very passionate. Fire can change it's course at an instant, those born under fire astrology signs are very dynamic and like the fire

spreading, are the first to set out into the unknown and take initiative with adventurous enthusiasm. Fire is not a physical thing, it is quite mystical and fire astrology sign people apprehend the world through their intuition, they trust their gut instinct (or they should anyway) because it rarely ever leads them wrong. Fire people have

a strong sense of self just like fire which has no regard over anything in it's path, fire people are quite self centered but they are moving so fast that they never get stuck on themselves, the fire needs to spread and explore. Fire people are impulsive and just like fire spreading, often leap before they look.

Aries

Aries is the first fire sign which means that it's dynamic and temperamental qualities are heightened. Aries astrology represents fire in it's most pure form, being the most active, interested in everything and adventurous, like a small fire that has just been ignited in a fireplace full of kindling. This is where and how Aries childlike qualities and raw enthusiasm originate.

Leo

Leo is the middle fire sign, Leo always has to be in the middle, like the sun which happens to be Leo's astrology symbol. Leo loves to be the center of attention and this is where they perform and feel the best. Like the sun, Leo is stable and radiant and helps to keep others under control. Leo is steady, dependable, grand and makes it's presence known. Sagittarius As the final fire astrology sign, Sagittarius leans toward the philosophical, the bottom part of the fire that is mystical and out of reach. Sagittarius is idealistic and creative, the fire energy of Sagittarius astrology is geared towards higher ideals and philosophical, wandering pursuits. Sagittarius is the most gentle of the three fire astrology signs, symbolic of fire slowly going out as it nears it's end.

Water Signs - Cancer, Scorpio, Pisces (NYOTA ZA TABIA YA MAJI)

Water can be refreshing, like a cool stream or it can be dark and mysterious like the depths of the ocean. Water that is contained is easy to deal with, like swimming pool, water that is un-contained and out of control

can do great damage, like a flood. Water signs represent the intuition and emotional aspects because it flows and it's liquid or it could be solid like ice, it can evaporate into air and turn into clouds. Water is complex and

a paradox it is everywhere and can be almost anything. Water signs are the most emotional of all signs, they flow down deep and search out crevasses and cracks to explore, symbolic of the unknown emotions of the

human psyche. Not only is water is essential to life and covers the whole globe, but water makes up the largest percentage of all living things. Since water is found in everything everywhere, water sign people have a

knack for dealing with others, they can see into other people, they understand the motives and needs of other people and to sum it all up, they are borderline psychic and the most in-tune with others. This makes them

empathetic, caring and helpful but they are over sensitive and can be easily hurt by others who do not acknowledge the sacrifices that have been made and how deeply involved they really are.

Cancer

Cancer sign is the first water sign and represents water in it's most basic form. Cancer is genuine, concerned with others, nurturing and the most helpful. When unleashed however, like a river that spills it's banks, Cancer can be very aggressive when the need to defend themselves or someone they love.

Scorpio

Scorpio represents the power that water potentially has. If not properly contained, it can continuously wreak havoc on everything in it's path. Scorpio is full of energy and intensity and is similar to a raging river. Scorpio

needs control and has to be under self control, all the energy has to be harnessed to be effective, like putting a hydroelectric dam on the raging river. It provides power and light to cities and protects farmers fields from flooding.

Pisces

The final water sign is represented by the small creek, by piling up a handful of dirt, you can make it flow another direction, when it rains, it can flow north when it normally flows south because it is overtaken by the

rainwater. Pisces is overly flexible and too adaptable. Pisces is very charming, inspirational and mystical, also like the beautiful creek that which artists paint pictures. It is calming and the sound can put you to sleep and mystify you. Pisces is the most spiritual of all the zodiac signs.

Earth Signs - Taurus, Virgo, Capricorn (NYOTA ZA TABIA YA UDONGO)

Earth is real, you can see it, hold it, smell it. Suitably so, earth signs are very "down to earth" and real. Earth is the foundation on which everything is built. Earth people are solid and stable and composed of many

different parts, they are multi faceted people, like the many mineral compounds that make the earth. There is nothing wishy-washy about these people, they do not have their head in the clouds, They are dependable,

you know they will always be there and they are stable. Most of the time anyway, more stable then the other elements. Earth does not change. It stays there and allows whatever is growing to continue to grow and

progress. Earth people are not fond of change, they like stability and regular life that can grow upon and develop. Why start something new if what is already there is fine? Earth people are the most materialistic and

possessive of all astrology zodiac elements. Earth people are also concerned with what's on the surface and never really dig deep to get to the bottom of it, they are happy with what's on the surface.

Taurus

The first earth sign, Taurus is the most stable and the strongest. Taurus are known for their stubborn nature and their unwillingness to change. Taurus is earthly sensual and wants harmony and happiness, creating it by their surroundings, holding tight to the people and the things in their life. They have a solid foundation and help other to build theirs too, they are dependable, nurturing and wise.

Virgo

The middle sign is represented by the middle of earth, not quite on the surface and not quite deep down either. Stuck in the middle and indecisive. Virgo lives in their own world on a earthly-mental plane. They observe and think with quick analytical precision, and are flexible, helpful and stable. Virgo is the least physical of the earth signs.

Capricorn

Represented by the lower earth, Capricorn is the earth in it's most basic and purest form. Just like the pure earth is made up of various elements, Capricorn has many sides and takes interest in everything from

materialistic possessions to solid to being a powerful status symbol. Sort of like the depths of the earth, Capricorn is mysterious and deep. They can be dark, not in a malicious sense, but in a depressed sort of way

since they are very conservative and have a difficult time with pleasure since they are so concerned and involved in their work and the more serious aspects of life.

Air Signs - Gemini, Libra, Aquarius (NYOTA ZA TABIA YA UPEPO)

Air is the element that you cannot touch or see, but it can be mysteriously contained, like blowing up a balloon. When it is contained in this way, it somehow escapes or gets stale. Air people are free and cannot be

contained or this same thing will happen to them. Air is uncertain and unpredictable, it can spawn a horrendous thunderstorm with violent winds and the pressure drops and raises by the minute. Air sign people

are elusive in this way, they are unpredictable and eccentric. Air is the most necessary element, being necessary to fire, earth and water. Air people live in their mind. They are caught up in their thoughts which take them high to new levels where no other element can reach, like the upper atmosphere. Here they can

formulate theories, solve problems clearly and see the world below. Air people are said to be out of touch with reality, but they are also very advanced in thinking. They are very mental oriented people having a knack for intelligence but also lacking emotional depth.

Gemini

The first air sign, Gemini is the most flighty, like the wind that forms a dust devil, picking up debris, swirling with it and then letting it go, exploring off to another region. When forced to slow down, it cannot for long

and does not know what to do, marked by the known Gemini trait of indecisiveness. Gemini never feels complete and the Gemini, the sign of duality is always on the search for something, trying to find that one

person or thing that will complete them. Gemini is the sign of communication, they want to know everybody and everything, like the wind that flows forever along the land, surrounding every nook possible on the way.

Libra

Libra is represented by air, not moving but the air that circulates slowly that we need to breathe. Bringing harmony, life and balance to the world. Libra wans to be peaceful and essential to the lives of everyone they touch, just like air. Libra wants to form relationships of balance, I give you air, you give me life. This is how important relationships are top the Libra sign.

Aquarius

Aquarius is the last and the highest air element. Aquarius is the powerful force that makes the world go around, like the jet stream. It has the power to change areas and it does, Aquarius is the sign of change and

originality. Aquarius seeks understanding and knocking down of barriers, like the jet stream that circulates air from one corner of the world to the other essentially uniting everyone and everything. Aquarius is very

unpredictable and erratic, seeking the truth from way up above the rest of the world, Aquarius is the most advanced thinker of the zodiac, like the jet stream is the highest above. Aquarius is concerned with advancing civilization and the future of mankind.
 
mimi natabiri kuwa mpaka dakika hii utakuwa umesoma post yangu....
inshallah
 
Mkuu mziziMkavu nipo hapo kwenye p nani mwanamke mwenye jina linaloanza na herufi ipi atanifaa?
Mwanamke anayekufa ni mwenye jina linaloanzia herufi HERUFI V
Mwenye jina linaloanzia na herufi V ni mtu Mchapakazi, wenye bidii na asie choka. Hata hivyo ni watu wasiotabirika. Herufi U inawakilisha Nyota ya Mbuzi. Au tafuta mwanamke mwenye herufi inayoanzia HERUFI Z
Mwenye jina linaloanzia na herufi Z ni mtu mwenye kupenda matumaini na amani. Ni wenye msimamo mkali ila wanashauriwa kufikiria kabla ya kuamua jambo. Herufi Z inawakilisha Nyota ya Ng'ombe. ndio watakaye kufaa hao wawili.
 
mh mkuu unanikumusha historia ya carl marx maana alikuwa ameandika vitabu katika taaluma mbalimbali, economics,sociology,political science, law, philosophy etc
sasa mkuu mzizi nahisi wewe utakuja siku moja utasema ni mchungaji nabii mtume ila heri tu.
Mimi siku zote nitakuwa MziziMkavu Hauchimbwi Dawa sitakuwa Sheikh wala Pastor wala Mtume wala nabi wala Mchungaji nitakuwa siku Zote Mim ni MziziMkavu Hauchimbwi dawa.
 
Nimekusoma hivyo basi kuelewana kwetu kwatokana na mimi kuwa moto na yeye kuwa upepo.basi heri
 
Nina kipaji nacho Mkuu mambo haya ninayajuwa siku nyingi tu mkuu.
Sasa mzizi hizi fani nyingine naona unajipanga kupokea wanasiasa kuanzia mwakani. Anyway, mama mkwe wangu kazini kwake akipokea fedha za malipo (let say 100m) then baada ya muda akija kuzihesabu tena anakuta zimepungua (say 5m au 15). Siku za mwanzo aikuwa anadhani ni makosa yake ya kuhesabu au labda machine ina tatizo. Lkn ikathibitika kwamba huwa anahesabu kwa usahihi kbs na baadaye ndio zinapungua. Hilo ni tatizo gani?
 
Unatabiri mafuriko kwenye kipindi cha masika uku ukijua miundo mbinu mibovu.

Ajali mbaya ziko kila mwaka. Na utatuzi wa south sudan tayari jeshi la umoja limeongeza idadi ya askari wake na mazungumzo yanaendelea.

Umeme umepanda hivo vitu vingi vitapanda sababu vinatengenezwa viwandani na uko wanatumia umeme ata vyakula vitapanda sababu unga na mchele ukobolewa kwa mashine.

Umeleta usanii kila kitu kiko wazi.

Na ata mizozo ya Jubilee haijaanza leo imeshaonekana na wasanii hawajaanza leo kufa ata mwaka jana walikufa.

Hivo hakuna ulilotabiri kila kitu kiko wazi ni sawa na kutabiri mwaka huu rais jk ataenda marekani
YEah sure...na kutuokota kweliii
 
Back
Top Bottom