Pia bila Mbowe, CDM isinge kaa ije isimamishe mtuhumiwa wa ufisadi ktk nafasi ya uraisi! na hivyo kuishuidhia hadhi sana CDM...
Pia bila Mbowe, CDM isinge kaa ije isimamishe mtuhumiwa wa ufisadi ktk nafasi ya uraisi! na hivyo kuishuidhia hadhi sana CDM...
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Hao wenye shule kubwa wamelifikisha wapi taifa?Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Baada ya uchaguzi ndo atapotea kabisa ktk siasa, aombe lwa Mungu wake washinde kitu ambacho hakiwezekani.Katika wanasiasa watakaokuwa na historia iliyotukuka ktk siasa za upinzani ni Mh.Freeman Alkael Mbowe. Mbowe ni zaidi ya kiongozi,anabeba nyanja zote za uongozi maono(vision),ushawishi(influence) na hatima(destiny). Mimi naamini Mbowe anajenga chama kama taasisi,ipo siku Mbowe ataiacha CHADEMA katika mikono salama na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa siasa. Ni mwanasiasa atakayeondoka CHADEMA bila bughudha kama akina Dr.Slaa,Zitto,Arfi said,Dr.Kaborou nk. Na Mbowe atakuwa na historia ya kutukuka ndani ya nchi kupita mwanasiasa yoyote wa upinzani.
Swali la kujiuliza,hivi Mbowe asingekuwa m/kiti chama hiki kingekuwa kimesambaratika mapema sana.
Mbowe ataondoka kwa aibu na kashifa mbaya. Sema watu wako kimya kwa sababu wako kwenye campaign. Ngoja washindwe utakuja kuniambia. Huwezi kuuza chama bila kuangalia risks zake namna hiyo. Ni mtu mwenye shule ndogo tu anayeweza kuchukua such risks. Tunza hii message utasoma siku zijazo na utanikumbuka.
Hao wenye shule kubwa wamelifikisha wapi taifa?