Utabiri wa Masoud Kipanya

Utabiri wa Masoud Kipanya

Chonde chonde mtamfanya aache kununua bombedie ahamie kwenye satelaiti.
 
Kurusha rocket sikatai sawa mtarusha ila ni miaka ya baadaye sn miaka million 1 ijayo na kipind hicho us watakuwa wanatechnologia kubwa kuliko rocket yaan kutakuwa na magar yanayopaa kwenda sayar za mbali kutalii

Io namba mbili haiwezekan labda km wataomba muwasaidie ushenz
Hata wakiomba kusomea degree ya uchawi kutoka Gambushi pia ni msaada
 
Back
Top Bottom