Utabiri wa Masoud Kipanya

Utabiri wa Masoud Kipanya

HAPA anamanisha kuwa ni ukichaa kuaminishana eti tupo vita ya uchumi na U.S.A kiasi kwamba mwaka wa toleo la hilo gazeti itatokea U.S.A kutuomba msaada kwenye satellite yetu.SO HAPA ANATUFUMBUA MACHO KUWA HIYO VITA YA UCHUMI NI GERESHA LA UONGOZI WA AWAMU HII KUTUOMBA KWENYE VITA BINAFSI IWE VITA YA NCHI.kuzisoma katuni za Masoud zinataka ukichwa safi.
Duuuh kumbe ...jamaa kamaanisha kingine
 
Si vibaya kuwa na ndoto Ila tu zisiwe za Mchana 😜😜😜
 
Si mnapenda mapambio ndio madhara yake haya unaona kaonyesha Uzalendo.
 
Labda waombe msaada wa watumwa na kipindi tunarusha rocket wao watakua wanajenga nyumba angani
 
Back
Top Bottom