Utabiri wa Masoud Kipanya

Utabiri wa Masoud Kipanya

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,033
Reaction score
33,019
Huyu mkuu kaonyesha uzalendo kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha so watanzania tuchape kazi ili one day tuje kuwa the super power .....najua ndugu zangu wa Belgium watapinga
IMG-20210103-WA0030.jpg
 
Huyu mkuu kaonyesha uzalendo kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha so watanzania tuchape kazi ili one day tuje kuwa the super power .....najua ndugu zangu wa Belgium watapinga View attachment 1666320
Kurusha rocket sikatai sawa mtarusha ila ni miaka ya baadaye sn miaka million 1 ijayo na kipind hicho us watakuwa wanatechnologia kubwa kuliko rocket yaan kutakuwa na magar yanayopaa kwenda sayar za mbali kutalii

Io namba mbili haiwezekan labda km wataomba muwasaidie ushenz
 
Kwa kurusha Satelaiti angani, ameonyeshwa maono ya mwaka 2073 itakuwa kweli kwa mwaka huo na siyo mwaka 2037.

Kwa hili lingine la msaada kwa wenzetu yuko sahihi kabisa, assuming kuwa baada ya JPM, hatakuja mtu mwingine tena huko mbele halafu akawa ana sera ya ubinafsishaji. I HATED UBINAFSISHAJI, IN AS MUCH THE SAME WAY AS I HATE THE DEVIL
 
Ha haaa masoud kipanya ametabir hivo
 
Kwa kurusha Satelaiti angani, ameonyeshwa maono ya mwaka 2073 itakuwa kweli kwa mwaka huo na siyo mwaka 2037.

Kwa hili lingine la msaada kwa wenzetu yuko sahihi kabisa, assuming kuwa baada ya JPM, hatakuja mtu mwingine tena huko mbele halafu akawa ana sera ya ubinafsishaji. I HATED UBINAFSISHAJI, IN AS MUCH THE SAME WAY AS I HATE THE DEVIL
Una unga hoja mkono
 
Kurusha rocket sikatai sawa mtarusha ila ni miaka ya baadaye sn miaka million 1 ijayo na kipind hicho us watakuwa wanatechnologia kubwa kuliko rocket yaan kutakuwa na magar yanayopaa kwenda sayar za mbali kutalii

Io namba mbili haiwezekan labda km wataomba muwasaidie ushenz
Nakumbuka tuliambiwaga Maji Safi na salama kwa wote ifikapo 2000!leo 2021 bado tunajadili maji ya kunywa,sio ya umwagiliaji.hata kurusha chombo wanaweza kujimwambafy.

Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mkuu kaonyesha uzalendo kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha so watanzania tuchape kazi ili one day tuje kuwa the super power .....najua ndugu zangu wa Belgium watapinga View attachment 1666320
HAPA anamanisha kuwa ni ukichaa kuaminishana eti tupo vita ya uchumi na U.S.A kiasi kwamba mwaka wa toleo la hilo gazeti itatokea U.S.A kutuomba msaada kwenye satellite yetu.SO HAPA ANATUFUMBUA MACHO KUWA HIYO VITA YA UCHUMI NI GERESHA LA UONGOZI WA AWAMU HII KUTUOMBA KWENYE VITA BINAFSI IWE VITA YA NCHI.kuzisoma katuni za Masoud zinataka ukichwa safi.
 
Yaan biashara zinazid kufungwa huku TRA inavuka lengo la makusanyo…inakusanya kwa nan?
Kuna watu wanashndwa kuendana na kasi ....ilhali kunawengine wapya wanaingia kweny system ....
 
Back
Top Bottom