Utabiri wa baba Vanga: Marekani kusambaratika

utabiri feki hamna chochote hapo kwanza kuhusu twin tower ninfake,kuongezeka joto duniani -ni propaganda,kuhusu ISIS kwa aliyekuwa nafatilia habari ni rahisi kujua kuwa lazima kundi litakuwa hili halihitaji utabiri.pili obama sio mweusi ni chotara! kuhusu kuanguka kwa USA sio swala la utabiri ni swala ambalo lipo na lazima litakuja kutokea maana kuna nchi nyingi zilitawala dunia na zote zilianguka,kuna utawala wa roma,U.k,soviet,babylon,ottoman empire
 
Tabiri nyingi hurejewa baada ya kutokea kwa sababu binadamu tu wagumu kuamini.

Hata hapa kwetu, hadi watu wakumbwe na mafuriko au njaa, kwa mfano, ndipo hapo wanaamini tabiri za Mamlaka ya Hali ya Hewa!
Tungeamini kama tungesikia kabla ya uchaguzi......
 
Yetu macho na masikio, tuombe uzima tuangalie hizo nguvu za mtabiri(MIRACKE's POWER)
 
Mkuu sijaelewa alitabirije wakati no marehemu. Alitabiri wakati yu hai?.
Alitabiri akiwa hai, lakini wakati huo watu hawakumwamini, kama zilivyo tabiri nyingi kutokuaminika.

Aliyotabiri mengi (85%) yametokea na ndo sasa watu wanafunguka macho na masikio kuamini.

Linalotia kiwewe, kwa sasa hadi utabiri wake urejewe, ni kwamba alitabiri Rais ya 44 wa Marekani atakuwa Mwafrika Mmarekani na ndiye atakuwa Rais wa mwisho wa Marekani. Atakayefuata hataweza kutawazwa na kutatokea Marekani kugawanyika Kaskazini na Kusini
 
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

"Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuwa lini, Wala malaika wa mbinguni, wala Mwana; Baba peke yake ndiye ajuaye." (MATHAYO 24:36)
 
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
View attachment 434520

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.

Kama ni hivyo, kutabiri ni simple sana.
Nami natabiri Tanzania(bara) itakuja kuongozwa na rais mwanamke kabla ya mwaka 3000. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utavunjika na zitatokea nchi mbili zinazojitawala kila moja kwa sheria zake kabla ya mwaka 3000. Jina Tanzania litabaki kama lilivyo na litatumika badala ya Tanganyika. Mwaka ujao mvua kubwa sana itanyesha siku ya juma tano.Utabiri huu ukitimia nami nitaandikwa.[emoji23] [emoji124]
 
Imeandikwa kwenye gazeti la Nipashe, Jumanne Novemba 15, 2016 kwa kichwa cha habari "Binadamu ataweza kubadilisha kichwa mwakani", kwamba 'Marekani itaingia katika machafuko yatakayogawanyisha majimbo ya nchi hiyo, ya Kaskazini na Kusini'.

Baba Vanga ni nani?
View attachment 434520

Baba Vanga (alijulikana kama 'the Nostradamus of the Balkans') ni mtabiri, mwanamke, kipofu, mzaliwa wa Strumica, Macedonia. Alfariki miaka 20 iliyopita (1996). Jina lake halisi ni Vangelia Pandeva Dimitrova.

Alipoteza uwezo wake wa kuona akiwa na miaka 12, kutokana na kimbunga kikubwa kilichomkumba akapotea kwa siku kadhaa. Alifariki kwa ugonjwa wa kansa ya titi.

Katika tabiri zake nyingi zilizokuwa sahihi ni kama zifuatazo:
1) Kujiimarisha kwa ISIS
2) Kuporomoka kwa Ghorofa Pacha (Twin Towers).
3) Tsunami ya 2004.
4) Kuongezeka kwa joto duniani(global warming).
5) Rais wa 44 wa Marekani atakuwa mtu mweusi, akaja kuwa Barack Obama, nk

Tabiri zinazosisimua ni kama zifuatazo;
1) Bara la Ulaya halitakuwepo ifikapo 2016, iwapo silaha za kemikali zitatumika. Kinachoendelea barani Ulaya kwa sasa mwelekeo ni kwenye utabiri huo.
2) Waislamu watavamia bara la Ulaya. Hili linaendelea kutokea.
3) China litakuwa Taifa jipya lenye nguvu ifikapo 2018 badala ya Marekani. Akaongezea kuwa mataifa nyonyaji (exploiters) yatanyonywa (exploited).
4) Mwisho wa dunia ni mwaka 3797 ila binadamu watakuwa wamendelea kiteknolojia na kuhamia sayari nyingine. Utafiti kuhusu hili unaendelea kwa kasi na matumaini mazuri.

Kuhusu Marekani kuparaganyika, kinachoendelea huko, baada ya kumchagua Trump kuwa Rais, ni dalili tosha kuelekea huko. Kwa kuwa sikio la kufa halisikii dawa, ni kusubiri tu kama huo utabiri utakuwa kweli.
Kumbe mwisho wa Dunia bado hivyo ngoja kesho nikavizie mabibo hostel
 
Back
Top Bottom