Utabiri wa Baba mchungaji

Utabiri wa Baba mchungaji

Naendaga kanisani kutafuta warembo sio kuombewa kupata mke.

Sina imani hiyo, yan unaombewa na anakuja tu?
 
Kwani kuna kosa gani mchungaji kukwambia kile unachotaka kusikia!!?
Na pia kuna kosa gani muumini kuamini kile alichotamani kuambiwa!!?
Au umesahau IMANI maana yake nini!!:israel:
 
Back
Top Bottom