Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Habari wana Jf,
Nashukuru kama wote tumepita salama katika kipindi hiki cha sikukuu, kwa upande wangu ni kama ndoto tu..Nisiwachoshe....
Rafiki yangu kipenzi,amekuwa akimcha Mungu sana na kumlilia Mungu ampe mume kwani akidhani umri umepita/unaenda bila kuwa na mwenza..
Akaamua kwenda kumuona Baba Mchungaji na kumwomba amsaidie kwenye maombi ya kusaka Hubby.Mchungaji akamwambia apeleke majina ya wanaume aliowahi na anaodate nao kwa kipindi hicho,Akapeleka majina matano.
Baba Mchungaji akazama rohoni na kuibuka na Jibu HAKUNA MUME katika majina yale.Dada akapiga chini jamaa aliekuwa nae na kidogo jamaa alikuwa na kauelekeo...
Tisa na Kumi.....:bange:
Baba mchungaji akaibuka na utabiri HATAREEEE....akamwambia nimepata maono unabooongee mume, Tajiri, marafiki zake ni bwana IPP na Azam,yani hapa unagari la M 200 linakusubiri,ukionana nae tu shopping ya Engagement ulaya,Utakutana nae tar 20 mwezi fulani.dada wa watu roho juu usubiri tarehe,wakijitokeza Magarasa,magarasa yanapigwa teke akiamini mume wa roho anakuja..
Hatimae tarehe ikaja....masaa yakaenda ...siku ikaisha ziiiiiii.....siku ya pili,ya tatu,mwezi umeisha....
Ungekuwa wewe ungemfanya nini baba Mchungaji?
ANGALIZO; wanaopiga goti kuomba mahubbitioz angalia na wapi unaenda kuomba msaada.