Chelsea leo bado ana kazi ngumu, hiyo game itaamuliwa kwa tofauti ndogo sana ya magoli, atakayefanya kosa ndio ataadhibiwa game itakuwa tight sana, kwa Arsenal siwapi nafasi sana kwa Villareal, wahispaniola kupata goli Emirates wanaweza kabisa.
2mbaf kweli hili jamaa! Eti linatabiri wakat timu zishaingia fainal! Haya ndo yanaulizaga nitimu gani inayoogopeka zaidi kwasasa hapa afrika kwangazi vilabu? Wakat linajua kabisa kwamba ni
Simba
Wanalunyas
Taifa kubwa
Wazee wakidedea
Wazee wa pira bryan
Kulitaka mwana kulipata
Timu inayosakata kabumbu kwaviwango vilivyothibitishwa na shirikisho la kabumbu ulimwenguni FIFA!
wacha janjajanja ewe siyo mtabiri!