Natabiri Man City kuwa bingwa wa makombe matatu msimu huu

one wisow

JF-Expert Member
Sep 9, 2019
1,216
1,795
Salaam,

Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3.

1. UEFA
2. EPL
3. FA

Sijaona timu ya kuizuia mancity kwa msimu huu ,sio arsenal ,wala madrid,hata man united hana msuli huo.

Mpaka sasa manchester city amerhibitisha uwezo wake kwa kufunga timu kubwa karibia zote alokutana nazo;

Manchester United kapigwa -6
Arsenal kapigwa- 4
Liverpool kapigwa 4
Chelsea kapigwa 4
Bayern munchen kapigwa 3

Timu nyingine zijipqnge kwa next season. Hii ya mwaka huu ni ya wananchi tu.
 
Salaam.
Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3;

1.UEFA
2.EPL
3.FA

Kwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFA
 
Salaam.
Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3;

1.UEFA
2.EPL
3.FA

Sijaona timu ya kuizuia mancity kwa msimu huu ,sio arsenal ,wala madrid,hata man united hana msuli huo.

Mpaka sasa manchester city amerhibitisha uwezo wake kwa kufunga timu kubwa karibia zote alokutana nazo;

Manchester United kapigwa -6
Arsenal kapigwa- 4
Liverpool kapigwa 4
Chelsea kapigwa 4
Bayern munchen kapigwa 3

Timu nyingine zijipqnge kwa next season. Hii ya mwaka huu ni ya wananchi tu.
We jamaa n tapeli
 
Los blancos hawana mbwembwe kwenye UCL wawe wabovu au vyema wao wana chapa tu .tukutane final june 10 instabul

Real madrid vs whoever
 
Unaanza kua mtabiri wakati Team ipo kwenye Robo tatu ya kila hatua.
Ulikua wapi kutabiri mwanzo wa Race?
Ligi ndio inaanza
UEFA ndio inaanza
Na FA ndio inaanza.
ULIKUA WAPI?
 
Mpira wanaocheza Manchester city PSG na Barcelona sio wakushinda trophy ule ni wa title tu wanacheza mpira kama chandimu hawana mbinu hawaheshimu wapinzani wanafunguka tu ni ngumu Manchester city kushinda UEFA champions league hata ile mechi ya juzi dhidi ya Bayern's ukitoa yale makosa ya beki wao ambaye aliigharimu team Bayern's wangekuwa na striker kama Lewandowski man city alikuwa anakufa maana Bayern's walikosa clear chances kama 7 hivi na Guardiola tangu aondoke Barcelona hajawahi kushinda UEFA .
 
Salaam,

Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3.

1. UEFA
2. EPL
3. FA

Sijaona timu ya kuizuia mancity kwa msimu huu ,sio arsenal ,wala madrid,hata man united hana msuli huo.

Mpaka sasa manchester city amerhibitisha uwezo wake kwa kufunga timu kubwa karibia zote alokutana nazo;

Manchester United kapigwa -6
Arsenal kapigwa- 4
Liverpool kapigwa 4
Chelsea kapigwa 4
Bayern munchen kapigwa 3

Timu nyingine zijipqnge kwa next season. Hii ya mwaka huu ni ya wananchi tu.
em tukumbushe kwanza iyo UEFA man cty anakutana na nani ktk hatua aliyofikia,then tuanze hapo kujadili huu mjadala
 
Mpira wanaocheza Manchester city PSG na Barcelona sio wakushinda trophy ule ni wa title tu wanacheza mpira kama chandimu hawana mbinu hawaheshimu wapinzani wanafunguka tu ni ngumu Manchester city kushinda UEFA champions league hata ile mechi ya juzi dhidi ya Bayern's ukitoa yale makosa ya beki wao ambaye aliigharimu team Bayern's wangekuwa na striker kama Lewandowski man city alikuwa anakufa maana Bayern's walikosa clear chances kama 7 hivi na Guardiola tangu aondoke Barcelona hajawahi kushinda UEFA .
unasema nini wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom