Una hoja katika baadhi ya maeneo.Tatizo la vyama vya upinzani hawana watu wa mikakati imala, hawana misimamo madhubuti.wala malengo.
Nakumbuka kipindi magufuri anaingia madalakani miji mingi ilipata kushikwa na vyama vya upinzani.wakati wanachakua mameya, ccm waliwabana kwa figisu, wapinzani walipogundua figisu ccm wakasema msiwafanyie figisu waacheni hiyo ni haki yao, vyama upinzani vikafuraahi hawakujua wenzao wamepanga nini.
Mwisho wasiku wanabadilisha mfumo mzima wa TAMISEMI badala ya kua kwa wazili mkuu imerudishwa kwa Rais.
Wamejikuta mameya , madiwani oote wamebaki hawana kazi ya kufanya. Maelekezo ya TAMISEMi yoote yanatoka kwenye utawala. Hiyo ndio ccm. Kuweza kuwadhibiti ccm hadi kizazi fulani kifutike lakini sio kilahisi hivyo.
Ni utabiri tu,huna sababu ya kuwa na makasiriko kiwango hiki.Hizi mambo za mtoto wa kiume kuota unajifungua ndio mwisho unaamka umejinyea[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe ndo walewale , hakuna utabiri sema wenda umeongea nini mnapanga, safari hii uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui , ccm haipo na Kibali cha kutawa kilisha futwa ,asema BwanaHUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Wala hata sio umeme mkuu ila 2025 ngumu sanaWe jamaa ndio kusema umechoka sana hivi???
Umeme sio chakula kwamba ukikosa utakufa.
Sawa mwamposaNi utabiri tu,huna sababu ya kuwa na makasiriko kiwango hiki.
Mimi sio "walewale" huu ni utabiri huru ikiwa kila kitu kibaki constant hadi wakati huo.Wewe ndo walewale , hakuna utabiri sema wenda umeongea nini mnapanga, safari hii uchaguzi ukifanyika mtajua hamjui , ccm haipo na Kibali cha kutawa kilisha futwa ,asema Bwana
Wewe pia umebashiri,niambie umetumia utafiti upi kujua huyo Hangaya unayemsema hapati 25% ya kura?Huu ni ujinga kama ujinga mwingine, utabiri kwa kutumia kanuni ipi ya kiroho
Ulichokifanya ni ubashiri (betting) kutokana na fikra zako mwenyewe na baada ya kuwasoma watu uliotaja.
Hangaya hawezi kupata hata asilimia 25% ya kura zote labda kura za maruhani wa Unguja kusini
Zingatia "mabadiliko mdogo ya katiba na sheria za UCHAGUZI" Hakuna lisilowezekana chini ya jua.CCM hii ya Chama Dola tunayoijua yaani The Green Mamba wagawane asilimia ya kura na Wapinzani hivyo!
Be serious!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kwako mpinzani halisi ni nani boss?Kama wapinzani wenyewe ni Zitto na Tundu basi mama atashinda mchana kweupe.
Hii ndio hasara ya kulala uchi Kama mchawi! Mwisho unaota ndoto za kichawi Kama hii,walau unavaa hata chp.HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Samia atashinda hata bila duri ya pili,huyo Lisu mnampaisha Bure tuu 😁😁HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Na Kwa Wabunge Chadema haiwezi kushinda ccm 🤣🤣Ushindi ni zaidi ya kura za urais.
Kuwekeza nguvu kubwa kwenye urais hakuna maana kama utapata chini 35% ya wabunge.
Chama kitakachotoa rais na wakati huo huo kimeambulia chini ya 35% ya wabunge kitateseka sana kwenye uongozi wake.
Wanaota 😂😂Tatizo la vyama vya upinzani hawana watu wa mikakati imala, hawana misimamo madhubuti.wala malengo.
Nakumbuka kipindi magufuri anaingia madalakani miji mingi ilipata kushikwa na vyama vya upinzani.wakati wanachakua mameya, ccm waliwabana kwa figisu, wapinzani walipogundua figisu ccm wakasema msiwafanyie figisu waacheni hiyo ni haki yao, vyama upinzani vikafuraahi hawakujua wenzao wamepanga nini.
Mwisho wasiku wanabadilisha mfumo mzima wa TAMISEMI badala ya kua kwa wazili mkuu imerudishwa kwa Rais.
Wamejikuta mameya , madiwani oote wamebaki hawana kazi ya kufanya. Maelekezo ya TAMISEMi yoote yanatoka kwenye utawala. Hiyo ndio ccm. Kuweza kuwadhibiti ccm hadi kizazi fulani kifutike lakini sio kilahisi hivyo.
Hakuna kitu ,Mimi sio "walewale" huu ni utabiri huru ikiwa kila kitu kibaki constant hadi wakati huo.
Ndo hivyo🤣🤣🤣Hizi mambo za mtoto wa kiume kuota unajifungua ndio mwisho unaamka umejinyea[emoji38][emoji38][emoji38]
Asante lakini hoja hujibiwa kwa hoja.Leta mtazamo wako juu ya hilo.Hii ndio hasara ya kulala uchi Kama mchawi! Mwisho unaota ndoto za kichawi Kama hii,walau unavaa hata chp.
HUU NI UTABIRI

UTABIRI Fweki