huu sio utabiri ni ndoto, ila kasoro tu umeota ukiwa kwenye kidala, ingekua umeota ndoto ya kitandani isingeisha ivo , ingeshia hivi baada ya kushindwa mgombea alieshindwa akimbilia ubalozini tayari kwa safari ya ulaya alipo mwenza wake na wafadhili wakeHUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine, utabiri kwa kutumia kanuni ipi ya kirohoHUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Heheheee siwezi kukupinga maana ccm imechokwaHUU NI UTABIRI

Atapata nyingi as long as Tume ni ile ile na polisi ni wale wale.Huu ni ujinga kama ujinga mwingine, utabiri kwa kutumia kanuni ipi ya kiroho
Ulichokifanya ni ubashiri (betting) kutokana na fikra zako mwenyewe na baada ya kuwasoma watu uliotaja.
Hangaya hawezi kupata hata asilimia 25% ya kura zote labda kura za maruhani wa Unguja kusini
We jamaa ndio kusema umechoka sana hivi???2025 hafiki mtu mbona mnamlazimisha Mungu
Ni kweli.utabiri wa akili ni ule unaompa Mwamba Lissu UshindiUtabiri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani
Hehee......siku ya kufa nyani mkuuYaani ccm na mihakili/miguvu yoote waliokuanayo hatakama watalekebisha hiyo sheria ndio washindwe kupata watu hata vivuli vya watu ili kujazia palipopungua na kushinda kwa kishindo cha 67%?
Hizi mambo za mtoto wa kiume kuota unajifungua ndio mwisho unaamka umejinyea[emoji38][emoji38][emoji38]Amka hiyo ndoto utajinyea
CCM hii ya Chama Dola tunayoijua yaani The Green Mamba wagawane asilimia ya kura na Wapinzani hivyo!HUU NI UTABIRI
(1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi.
(2) WAGOMBEA URAIS-:
(1)CCM - Samia Suluhu Hasan
(2)CHADEMA - Tundu Lissu
(3)ACT - Zitto Kabwe.
(3) MATOKEO YA URAIS
(1) Samia suluhu Hasan 48%
(2) Tundu Antipas Lissu 40.5%
(3) Zitto Kabwe 11%
(4) Vyama vingine 0.5%
Kwa matokeo hayo uchaguzi utaingia duru ya pili,ambapo CCM watamshawishi Zitto kabwe awaunge mkono kwa ahadi ya chama chake kupewa nafasi 3 za mawaziri huku Zitto Kabwe akiungwa mkono na CCM kugombea nafasi ya spika wa bunge.
(4)DURU YA PILI YA UCHAGUZI
MATOKEO
(1) Samia suluhu Hassan 53%
(2) Tundu Antipas Lissu 47%
Spika wa Bunge Zitto Kabwe.
MWISHO WA UTABIRI
Mkuu huu ni utabiri,huhitajihuu sio utabiri ni ndoto, ila kasoro tu umeota ukiwa kwenye kidala, ingekua umeota ndoto ya kitandani isingeisha ivo , ingeshia hivi baada ya kushindwa mgombea alieshindwa akimbilia ubalozini tayari kwa safari ya ulaya alipo mwenza wake na wafadhili wake
Kwanini ni wa hovyo kiasi hicho? Tupe insight kidogoUtabiri wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani