johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,125
- 142,223
Nmejiuliza hao wooote kuanzia huyo spika mpk hao wa ukuu wa mkoa na KUB wako wakapigwa na CORONA then mwenyewe akawachukua itakuaje!! Hebu tupambane kwanza na hili lililokwepo watakaobaki ndo wataongelea hayo au we waonaje kamandaNi utabiri wangu tu kwamba Spika ajaye wa bunge hatatoka miongoni mwa wabunge bali atakuwa ni mwanaccm ambaye siyo mbunge ama wa kuchaguliwa au kuteuliwa.
Naibu Spika wa sasa ataendelea na nafasi hiyo endapo atamshinda mbunge machachari na mbishi mh Mbilinyi aka Sugu pale Mbeya mjini.
Pia hapatakuwepo chama kikuu cha upinzani wala KUB kwa sababu kura zao na idadi ya wabunge haitatosha kwa mujibu wa kanuni. Yote kwa yote ACT wazalendo watakuwa ndio kioo cha upinzani wakibebwa na Pemba.
Mbatia hawezi kurudi bungeni lakini atapozwa na ukuu wa mkoa.
Ahsanteni.
Maendeleo hayana vyama!
Leo kila mmoja akutambue, maana hizi taka ndio zinatuharibia JF.
Soma vizuri Katiba ya Nchi kabla hujapost upupu. Spika lazima awe Mbunge wa Jimbo
Jiulize kwanini Mwaka 2015 Tulia alichukua Fomu ya Uspika, alafu baada ya masaa kadhaa akarudia unaibu spika.Sio kweli, mtu yoyote anaweza kuwa spika. Sio lazima awe mbunge ili mradi tu apate kura za kutosha.
Soma vizuri Katiba ya Nchi kabla hujapost upupu. Spika lazima awe Mbunge wa Jimbo
Ni utabiri wangu tu kwamba Spika ajaye wa bunge hatatoka miongoni mwa wabunge bali atakuwa ni mwanaccm ambaye siyo mbunge ama wa kuchaguliwa au kuteuliwa.
Naibu Spika wa sasa ataendelea na nafasi hiyo endapo atamshinda mbunge machachari na mbishi mh Mbilinyi aka Sugu pale Mbeya mjini.
Pia hapatakuwepo chama kikuu cha upinzani wala KUB kwa sababu kura zao na idadi ya wabunge haitatosha kwa mujibu wa kanuni. Yote kwa yote ACT wazalendo watakuwa ndio kioo cha upinzani wakibebwa na Pemba.
Mbatia hawezi kurudi bungeni lakini atapozwa na ukuu wa mkoa.
Ahsanteni.
Maendeleo hayana vyama!
Jiulize kwanini Mwaka 2015 Tulia alichukua Fomu ya Uspika, alafu baada ya masaa kadhaa akarudia unaibu spika.
Hata huyo mtukufu wao anaweza asifike octoberNmejiuliza hao wooote kuanzia huyo spika mpk hao wa ukuu wa mkoa na KUB wako wakapigwa na CORONA then mwenyewe akawachukua itakuaje!! Hebu tupambane kwanza na hili lililokwepo watakaobaki ndo wataongelea hayo au we waonaje kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe katika kipengela cha KUB.
Ili kupata kambi ya Upinzani ni lazima chama cha Upinzani kiwe na wabunge asilimia 12.5 ya wabunge wote.
Pia Kura za Rais zinaamua idadi ya viti maalum.
Hivyo sitegemeo kuwa na KUB next year.
2020
Mbatia kasema atakwepo ata kwa katiba hiiKama wapinzani watakubali kushiriki uchaguzi huu bila kuwa na tume huru vya uchaguzi, tayari Magufuli ana matokeo mfukoni. Na lengo hasa ni bunge la ccm watupu litakalomuongezea muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Ila iwapo kutakuwa na tume huru ya uchaguzi, na wapinzani kusimamisha mgombea halisi wa upinzani na sio hao wazee wachovu toka ccm, uje utoe mrejesho hapa jukwaani.
Hapana, Spika siyo lazima awe mbunge. Anayelazimika kuwa mbunge ni Naibu, naye ni bila kujali kama ni wa jimbo au viti maalumu ama kuteuliwa na Rais. Anayelazimika kuwa mbunge wa jimbo ni PM tu.Soma vizuri Katiba ya Nchi kabla hujapost upupu. Spika lazima awe Mbunge wa Jimbo