Utabiri: Senegal 2, England 1

Utabiri: Senegal 2, England 1

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,148
Reaction score
162,557
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.

Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
 
Bila shaka ma wewe ni mshabiki wa Arsenane
 
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.

Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
Umetabiri sahihi. Sema tu magoli yote 3 yameingia upande mmoja, wa Senegal.

Kwa hiyo miaka ijayo, tutaona ni kwa namna gani tukusaidie kuirithi mikoba ya marehemu Sheikh Yahya.
 
Back
Top Bottom