Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

CHADEMA mlipoteza uhalali wa kuhoji masuala ya rushwa na ufisadi baada ya mwenyekiti wenu kubadilisha Gia angani na kumkabidhi bendera ya chama Lowassa ambaye kwa takriban miaka nane iliyotangulia mlituaminisha kuwa ni kielelezo cha ufisadi uliokithiri ndani ya serikali na chama alichotoka.
 
Watu wengine bhana. Eti muhongo alikuwa waziri, fedha ikachotwa kutoka wizarani kwake kwa mabilioni, hadi akajiuzulu halafu leo anajifanya hajui kilichotokea na ni msafi. Only in dar.
 
Umeme wa maji kutoka Ethiopia Ndy mkakati wenyewe?
Gas imeishia wapi, tumeambiwa Dangote amekodi majenerata jutoka China baada ya serikali kushindwa kuzalisha umeme wa kutosha tena huko Ntwara ambapo ndy gas inatoka.
 
subiri uone ,bunge hili ma ccm yatakoma
Mimi nilifikiri masuala ya Kampein yalisha pita!! Kubalini kushindwa - nyinyi hamna uwezo wa kuwajengea mizengwa Mawaziri wa Tingatinga - hizo zitabiki ni ndoto zenu za mchana.
 
Muhongo yupo pale kwa muda tu
naibu wake ata take over...

Mkuu nilitegemea utaje hata mbadala wake Na mabaya alioyafanya...Mi napenda kusikia mabaya Na sio Mazuri Kwani mabaya yana sauti Kubwa...
Usisahau kunipatia Na "kitalu cha Gas mkuu"
 
Mkuu nilitegemea utaje hata mbadala wake Na mabaya alioyafanya...Mi napenda kusikia mabaya Na sio Mazuri Kwani mabaya yana sauti Kubwa...
Usisahau kunipatia Na "kitalu cha Gas mkuu"
Tegeta kuna vitalu kweli?
 
Hivi sisi binadamu huwa hatuwezi kuwa na watu ambao hawana uadui? Yaani kila mtu ana adui kwa nini? Kuna baadhi ya wanyama ambao mimi naamini kuwa hawana maadui!
 
Utabiri:- pro.muhongo kuivusha tanzania kuwa na umeme wa uhakika na surplus ya kuuza nje. Kubenea ni mwehu
 
UTABIRI:- PRO.MUHONGO KUIVUSHA TANZANIA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA NA SURPLUS YA KUUZA NJE. Tawireeeeeee. KUBENEA NI MWEHU
 
Umeme wa maji kutoka Ethiopia Ndy mkakati wenyewe?
Gas imeishia wapi, tumeambiwa Dangote amekodi majenerata jutoka China baada ya serikali kushindwa kuzalisha umeme wa kutosha tena huko Ntwara ambapo ndy gas inatoka.

Gas ni gharama sana kuliko umeme wa kununua kutoka Ethiopia, that's the fact.
 
Mh, wanaomfagilia Kubenea ni vichaa kama yeye. Kubenea hana sifa ya aina yoyote ya Ubinadamu kwani hatumii kichwa chake (kufikiri, kamua na kutenda) sifa na silka ya binadamu ambayo wanyama wengine wamekoswa.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…