Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa."

Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu ya maarifa majibu mnayo kwakuhisi au kwakuwa kile Manisha.

Mwaka 2023 ni mwaka wa maarifa ni mwaka ambao Uhai wa Taifa na uwimara wa Taifa utaongozwa na maarifa na akili nyingi ktk kuongoza na kustawisha uchumi wa Taifa husika.

Mungu anazungumza na Taifa nakuwahusia maarifa maana ndimo uchungu utatokea. Zipo dalili Taifa likakumbwa na njaa Kali ambayo haijawai kuwepo kwa miaka kadhaa ewe mtanzania na kila kiongozi unashauriwa kuishi kwa akili na maarifa mengi kuiponya nafsi yako.

Mtikisiko utaikumba nchi kutoka ktk vilindi vya bahari mpaka nchi kavu unashauriwa kuishi kwa akili ili mtikisiko huwo usikusumbuwe mahala utakuepo ishi kwa akili.

Hali ya mzunguko wa pesa uwenda isiwe nzuri sana ila itategemea na upepo wa Dunia kuadimika kwa pesa za kigeni kutasumbuwa masoko ya fedha zakigeni na hata manunuzi ya nje jambo litasababisha maisha kupanda Waka mfukoni hakuna kitu inashauriwa kuishi kwa akili na kuwa na matumizi yasio zidi kipato.

Utabiri unaonyesha kuna kila dalili ya kuwepo misuguano mikali ktk bunge kiasi misuguano hiyo itapoteza vibaruwa vya Mawaziri na manaibu wao mpaka makatibu wakuu.

Utabiri unaonyesha kutakuwepo na mabadiliko makubwa ktk Baraza la Mawaziri jambo hili kilikuwa litokee kabla ya mwaka kuisha ila upo uwezekano jambo hili likafanyika 2023.

Utabiri kwa watumishi wa serikali naomba usome na upate kuelewa ktk mwaka 2023 serikali itakuwa Haina msalia mtume na watumishi wasio kuwa waaminifu tayari sheria zimewekwa na sasa ni utekelezaji wale mmekuwa mkifanya tukio hapa nakuhamia kwingine mkae mkao wa kula hakuna tena hiyo mambo na mbaya kuliko yote kupoteza kazi itakuwa rahisi kuliko kupata kazi.

adhani mnanielewa kupoteza kazi 2023 ndani ya serikali itakuwa rahisi sana kuliko kuipata kazi... Mbaya zaid kufilisiwa Mali zako kwa ufisadi ni rahisi zaidi kuliko kuitafuta hiyo Mali. Mwenye akili amenielewa. Wale mnadhani mkipata kaz serikalini basi mnaanza wizi kazi mnayo 2023.

Utabiri unaonyesha mtifuwano ndani ya chama kikubwa Tz utafanya wazee wenye mvi kufanya maamuzi magumu kunusuru chama ni maamuzi gani na nn kitatokea subiri 2023. Soko la ajira halitokuwa zuri sana ila kutokana na safisha safisha ya serikali ndani ya serikali ajira zitakuwa nyingi kuziba mianya ya walio ondolewa kwa uzembe na Mambo mengine.

Upo uwezekano mkubwa sana kutokana na hali ya uchumi wetu na Dunia pamoja na mashinikizo ya jumuiya za kimataifa 2023 kukawa na pendekezo la mabadiliko ktk katiba na sheria kandamizi.

Itaendelea
 
Mungu anazungumza na Taifa nakuwahusia maarifa maana ndimo uchungu utatokea.
Zipo dalili Taifa likakumbwa na njaa Kali ambayo haijawai kuwepo kwa miaka kadhaa ewe mtanzania na kila kiongozi unashauriwa kuishi kwa akili na maarifa mengi kuiponya nafsi yako.
Mtikisiko utaikumba nchi kutoka ktk vilindi vya bahari mpaka nchi kavu unashauriwa kuishi kwa akili ili mtikisiko huwo usikusumbuwe mahala utakuepo ishi kwa akili.
Hali ya mzunguko wa pesa uwenda isiwe nzuri sana ila itategemea na upepo wa Dunia kuadimika kwa pesa za kigeni kutasumbuwa masoko ya fedha zakigeni na hata manunuzi ya nje jambo litasababisha maisha kupanda Waka mfukoni hakuna kitu inashauriwa kuishi kwa akili na kuwa na matumizi yasio zidi kipato.
Utabiri unaonyesha Kuna kila dalili ya kuwepo misuguano mikali ktk bunge kiasi misuguano hiyo itapoteza vibaruwa vya Mawaziri na manaibu wao mpaka makatibu wakuu.
Utabiri unaonyesha kutakuwepo na mabadiliko makubwa ktk Baraza la Mawaziri jambo hili kilikuwa litokee kabla ya mwaka kuisha ila upo uwezekano jambo hili likafanyika 2023.
Utabiri kwa watumishi wa serikali naomba usome na upate kuelewa ktk mwaka 2023 serikali itakuwa Haina msalia mtume na watumishi wasio kuwa waaminifu tayari sheria zimewekwa na sasa ni utekelezaji wale mmekuwa mkifanya tukio hapa nakuhamia kwingine mkae mkao wa kula hakuna tena hiyo mambo na mbaya kuliko yote kupoteza kazi itakuwa rahisi kuliko kupata kazi... Nadhani mnanielewa kupoteza kazi 2023 ndani ya serikali itakuwa rahisi sana kuliko kuipata kazi... Mbaya zaid kufilisiwa Mali zako kwa ufisadi ni rahisi zaidi kuliko kuitafuta hiyo Mali. Mwenye akili amenielewa. Wale mnadhani mkipata kaz serikalini basi mnaanza wizi kazi mnayo 2023.

Utabiri unaonyesha mtifuwano ndani ya chama kikubwa Tz utafanya wazee wenye mvi kufanya maamuzi magumu kunusuru chama ni maamuzi gani na nn kitatokea subiri 2023.
Soko la ajira halitokuwa zuri sana ila kutokana na safisha safisha ya serikali ndani ya serikali ajira zitakuwa nyingi kuziba mianya ya walio ondolewa kwa uzembe na Mambo mengine.
Upo uwezekano mkubwa sana kutokana na hali ya uchumi wetu na Dunia pamoja na mashinikizo ya jumuiya za kimataifa 2023 kukawa na pendekezo la mabadiliko ktk katiba na sheria kandamizi.
Itaendelea
Yan hakuna kitachobadilika
 
"Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa."

Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu ya maarifa majibu mnayo kwakuhisi au kwakuwa kile Manisha.

Mwaka 2023 ni mwaka wa maarifa ni mwaka ambao Uhai wa Taifa na uwimara wa Taifa utaongozwa na maarifa na akili nyingi ktk kuongoza na kustawisha uchumi wa Taifa husika.

Mungu anazungumza na Taifa nakuwahusia maarifa maana ndimo uchungu utatokea. Zipo dalili Taifa likakumbwa na njaa Kali ambayo haijawai kuwepo kwa miaka kadhaa ewe mtanzania na kila kiongozi unashauriwa kuishi kwa akili na maarifa mengi kuiponya nafsi yako.

Mtikisiko utaikumba nchi kutoka ktk vilindi vya bahari mpaka nchi kavu unashauriwa kuishi kwa akili ili mtikisiko huwo usikusumbuwe mahala utakuepo ishi kwa akili.

Hali ya mzunguko wa pesa uwenda isiwe nzuri sana ila itategemea na upepo wa Dunia kuadimika kwa pesa za kigeni kutasumbuwa masoko ya fedha zakigeni na hata manunuzi ya nje jambo litasababisha maisha kupanda Waka mfukoni hakuna kitu inashauriwa kuishi kwa akili na kuwa na matumizi yasio zidi kipato.

Utabiri unaonyesha kuna kila dalili ya kuwepo misuguano mikali ktk bunge kiasi misuguano hiyo itapoteza vibaruwa vya Mawaziri na manaibu wao mpaka makatibu wakuu.

Utabiri unaonyesha kutakuwepo na mabadiliko makubwa ktk Baraza la Mawaziri jambo hili kilikuwa litokee kabla ya mwaka kuisha ila upo uwezekano jambo hili likafanyika 2023.

Utabiri kwa watumishi wa serikali naomba usome na upate kuelewa ktk mwaka 2023 serikali itakuwa Haina msalia mtume na watumishi wasio kuwa waaminifu tayari sheria zimewekwa na sasa ni utekelezaji wale mmekuwa mkifanya tukio hapa nakuhamia kwingine mkae mkao wa kula hakuna tena hiyo mambo na mbaya kuliko yote kupoteza kazi itakuwa rahisi kuliko kupata kazi.

adhani mnanielewa kupoteza kazi 2023 ndani ya serikali itakuwa rahisi sana kuliko kuipata kazi... Mbaya zaid kufilisiwa Mali zako kwa ufisadi ni rahisi zaidi kuliko kuitafuta hiyo Mali. Mwenye akili amenielewa. Wale mnadhani mkipata kaz serikalini basi mnaanza wizi kazi mnayo 2023.

Utabiri unaonyesha mtifuwano ndani ya chama kikubwa Tz utafanya wazee wenye mvi kufanya maamuzi magumu kunusuru chama ni maamuzi gani na nn kitatokea subiri 2023. Soko la ajira halitokuwa zuri sana ila kutokana na safisha safisha ya serikali ndani ya serikali ajira zitakuwa nyingi kuziba mianya ya walio ondolewa kwa uzembe na Mambo mengine.

Upo uwezekano mkubwa sana kutokana na hali ya uchumi wetu na Dunia pamoja na mashinikizo ya jumuiya za kimataifa 2023 kukawa na pendekezo la mabadiliko ktk katiba na sheria kandamizi.

Itaendelea
Ndoto.
 
Sio utabiri ni reality
1. Forex issues imeanza kusumbua Tanzania unaanza kukumbwa na tatizo la Dola na sababu kuu ni kuwa pesa nying inalipa madeni na export imeshuka sana kiasi Cha kutokuwa na uwiano wa forex nchini

Tulitegemea FDI ziongezeke Kwa Kasi ila naona ziko very slow tatizo watu wa Asia especially Arabs ambao ndio tumeeapa kipaumbele ni wazito kwenye survey na decision making pia ni watu ambayo wanaweza ku cancel project with no reason tofaut na wazungu
Ishu ya njaa Iko wazi sababu hivi tunavyo ongea mbolea ya ruzuku haijafika Kwa wakulima na huh nduo ukwel
 
Back
Top Bottom