Utabiri:Hoja ya Katiba mpya inaweza kurudishwa Bungeni ili kuongeza muda wa Raisi kukaa madarakani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,146
144,658
Hizi kelele za kutaka sijui Raisi aongezewe muda huenda ni mbinu tu za kutaka kutumia mwanya wa kufanyia mabadiliko katiba inayopendekezwa kwa lengo la kuongeza muda/vipindi vya Raisi kugombea nafasi hiyo.

Wanaweza kuja na hoja ya kuifanyia mabadiliko katiba inayopendekezwa kabla ya kuendelea na hatua inayofuata ya kupiga kura ya maoni kwa lengo la kutumia fursa hiyo kufanya yao.

Hawa watu mimi siwaamini kabisa maana ni hawa hawa waliopiga marufuku maandamano ila sasa wanaonekana kugeuka.

Vyama vya upinzani,wanaharakati na wadau wengine acheni kukaa kimya bali toeni matamko ya kupinga jambo hili mapema vinginevyo mtakuja kushituka when it is already too late.
 
Lazima tumuweke maguful awe rais wetu wa maisha kwa sababu sion mbadala wake kwakwel
 
Tunakupenda sana baba yetu maguful ambao hawakupend ni mafisad na wez pekee
 
Back
Top Bottom