Utabiri game ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

Watu wanasema kundi la simba jepesi kuliko la yanga ila mm nasema sisi yanga tutapambana kwenye kundi letu tupite. Ila simba like kundi nafasi yake ya tatu kama sio ya mwisho. Sikoni simba akimfunga Orlando wala Berickane yoyote sana sana hapa nyumbani anaweza kutoka draw ila away hawezi kamwe kushinda.
 
Kundi ya yanga ni la vibonde watupu , simba angekuwepo angeongoza kundi lenu
 
Simba atapta penat na mpigaji atakosa ila hadi dk 90 zinakamilika yani FT Simba 3-0
 
Back
Top Bottom