Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,009
- 13,539
Sikuwahi kumsikia Sheikh Yahya Hussein, mtabiri maarufu wa Afrika Mashariki akitoa utabiri huu. Na wala hakuna mtu amewahi kuketa voice note/ video clip kuhusu maneno hayo. Lakini maneno hayo yalikuwa yana trend kila uchaguzi ulipotokea kati ya 2015, 2020 na 2025.
Sasa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa jana rasmi ndiyo tumefunga ukurasa wa utabiri huu feki.